Kijogoo anayewika kwa jazba

Hahaha...

Si ujumbe ulishafikishwa kwa wahusika ndio maana mlango ukafungwa...

Wenye macho na akili za kuelewa ujumbe ushawafikia...

Sa si wangetuacha wenzao tuingie ndani kuendelea kujidadafua.......

mie nilikasirikaje kufungiwa mlango au dady mkubwa ndio ulitoa hilo agizo......
 
Sa si wangetuacha wenzao tuingie ndani kuendelea kujidadafua.......

mie nilikasirikaje kufungiwa mlango au dady mkubwa ndio ulitoa hilo agizo......

Teh teh...miye sijatoa agizo lolote mpendwa...

Ila najua tu kuwa kuna milango ikifungwa huwa haifunguliwi tena...
 
kama ni hivyo basi wewe mkali sana
ngoja nikukimbie nisije pata majanga bure

ila unamaanisha nini kusema hivyo best?

Mi Mbozi tangu haiko kiunoni, iko kwenye paji la uso
 
wa roho mbaya ndo mana wameamua kufunga mlango
haasa HUYU KICHAA M sijui ananitafuta roho yangu huyu haaa!
Sa si wangetuacha wenzao tuingie ndani kuendelea kujidadafua.......

mie nilikasirikaje kufungiwa mlango au dady mkubwa ndio ulitoa hilo agizo......
 
lakini Dady mlango wangu utafunguliwa tu we ngoja
nilianzishe timbwilitimbwili humu mjengoni
anayesababisha haya yatokee ni huyu mkweo
sijui anataka roho yangu?

Teh teh...miye sijatoa agizo lolote mpendwa...

Ila najua tu kuwa kuna milango ikifungwa huwa haifunguliwi tena...
 
my dearest Ladyfuahia hebu nieleze kipi kilichokusibu??
mbona wamuongelea mtoto wa wanamke mwenzio ambae naye yupo kutafuta liwazo la moyo wake??

ujue moyo hutulia ukutanapo na funguo yake.
na mapenzi ni kama key and lock lazima enzyme ipate substrate.
haijalish katongooza wangapi lkn kama hana kismati hana lake.
siku zote wa moja havai mbili, na iso simama haisimiki.
 
Last edited by a moderator:
my dia hujaielewa ivizuri hiyo mada hapo juu
sijamsema mtu yeyote ila kuna kitu kimenipata muda
sio mrefu na kimenipa stress ambazo mhusika amekifanya
hivyo usinifikirie vibaya hakuna mtu humu mjengoni niliyemzungumzia
kwani wote ni marafiki zangu nawathamini, nawapenda na kuwaheshimu
ila kuna mtu amenichoresha jinalangu vibaya nakuliandika ovyo na kunitusi

nndo mana nimeboreka sana samahani kama umejisikia vibaya kwa post hii bestito
 
my dia hilo ni fumbo tu ambalo nimelichora katika mizania
na halihusiani wala kukopiwa na mtu yeyote yule wala
halimhusu yeyote yule kwani wewe sio mtunzi wa hadithi
na mwandishi wa vitabu, kama ni mwandishi utaelewa
kwanini nimepost thread hiyo kwani mm ni Mwandishi
na waandishi wanaelewa lugha iliyotumika hapo juu
Sorry 4 that bestito
 
jamani unless kaa hatuelewani.
mie nimeunga mistari tu kwenye post yako wala sija connect na yyte humu.
nimependa aina ya uandish wako na nilichoandika mimi nimekuwa msanifu tu nikijaribu kutafsiri kwa akili yangu.
pengine nimekuwa very straight lkn ndivyo nilivyoiona na nimependa uandish wako wala sio kwamba eti umemsema mtu humu. sijajiskia vibaya abadani na majibu yangu nimeyatoa pasi kujua kwamba wewe ulishaudhiwa na mtu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…