KIJIWE: bro to bro

KIJIWE: bro to bro

Bro to bro

Usikubali msamaha wa faragha kama fedheha ilifanyika hadharani.
 
Bro to Bro, save money, use this:
IMG_8557.jpeg

Ni shampoo, dawa ya meno, mafuta, sabuni ya kufulia, oil ya gari, sabuni ya kudekia nk. All in 1.
 
Bro to bro

Hakuna mahusiano bila mtaji
 
Bro to bro

CODE: hakikisha matokeo ni 0-0 kabla ya mechi kuchezwa
 
Bro to bro

CODE: Usisajili mchezaji aliye chini ya umri, sheria za mchezo ni kali sana.
 
Bro to bro

CODE: If the new prayer is too good on the pitch dont get too excited
 
Condom haikufanyi uwe na ngono salama

Jamaa kala shaba ya kichwa hajaomba hata maji kafumaniwa anatoka na mke wa mtu na condom alivaa
 
Back
Top Bottom