House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,206
Hapo ni mtaani tu, sisi tunahangaika na siasa za vyama..
mkuu,Kijiji?Mbona hakuna hata nyumba ya nyasi?Elimu bure, afya bure daaaah aisee natamani iwe kwetu mweh
Kweli everithingi izi mipangozmkuu,
wakati wewe kwenu eneo lenye vijumba vya nyasi ni kiashirio cha kijiji,kwa wengine eneo kama hilo wanaweza kulichulia kama kituo cha kufanyia utalii wa nje/ndani.
mwenyewe nimemkubali kwa kuangalia tu ile interview yake , he has motivated me so much , pia kuna kitu umenena sahihi , elimu ya darasani sio ndio elimu ya mtaani, street smartness mattters a lot in our daily life,nimebahatika kufika pale hamidu city kigamboni,kiukweli jamaa kajitahidi sana.
imagine hamidu aliishia standard seven lakini kapiga hatua kubwa kubwa sana kimaendekeo.
ilhali maprofesa na wasomi wetu magwiji waliobobea ktk nyanja mbalimbali za academia,legacy yao kubwa inayowapa umaarufu nchini ni kujihususha kwao ktk mivutano inayo husiana na masuala ya kisiasa.
Kabisa sijui wenyewe wanajuaje kama ndio humuDuh, hicho "kijiji" kama nyumba yako ndo ipo katikati hapo unaweza kupotea na kuingia nyumba ya jirani.
2020 utaona bongo itakavyokuwa maviwanda yakufa mtu, kila kijiji kitakuwa kinapewa milion 50kila wiki badala ya hii ya sasa ya milion 50 kila mwaka. Ofisi ya Makonda itakuwa katikati ya bahari. Dodoma itakuwa zaidi ya New York, Arusha zaidi ya Geneva. We subiri Mkuu piga kazi tu only 4years leftMkuu huku kwetu unaposafiri ukiona nyumba za nyasi ni dalili tosha kuwa unaingia kijijini. Daaah sijui kwetu itatokea lini?
Ndoto za Alinacha2020 utaona bongo itakavyokuwa maviwanda yakufa mtu, kila kijiji kitakuwa kinapewa milion 50kila wiki badala ya hii ya sasa ya milion 50 kila mwaka. Ofisi ya Makonda itakuwa katikati ya bahari. Dodoma itakuwa zaidi ya New York, Arusha zaidi ya Geneva. We subiri Mkuu piga kazi tu only 4years left
Hizo ndoto sahau mkuuHiki kijiji kitazidiwa na kijiji cha Chato ifikapo mwaka 2020
Sio ndoto mkuu we subiri sasa hivi uwanja wa ndege unakamilika mchakato wa kubomoa nymba mbuvu unaendeleaHizo ndoto sahau mkuu

Nikiangalia jinsi maisha yalivyo magumu duuuuuuuuh hadi kufikia huko mwehSio ndoto mkuu we subiri sasa hivi uwanja wa ndege unakamilika mchakato wa kubomoa nymba mbuvu unaendelea![]()
![]()
Acha kubeza Bhana..hujaonaHapo ni mtaani tu, sisi tunahangaika na siasa za vyama..
View attachment 440772
Mkuu ukiita ndoto watakuita mchochezi! Unatakiwa useme hivyo shauri yako?Ndoto za Alinacha