Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

Joined
Dec 21, 2011
Posts
71
Reaction score
75
Hemwa hemwa za kukihama chama cha mapinduzi zinaendelea ambapo safari hii wananchi katika jimbo la Simanjiro wanatarajia kutangaza nia yao ya kukihama chama hicho jumatano hii.
 
haba na haba...............................
 
Hemwa hemwa za kukihama chama cha mapinduzi zinaendelea ambapo safari hii wananchi katika jimbo la Simanjiro wanatarajia kutangaza nia yao ya kukihama chama hicho jumatano hii.

Kesho usikose kuweka updates za kijiji hicho kukubali juhudi za kujiunga na kambi inayopigania ukombozi wa walio wengi.
 
Tulianza kwenye majiji kama Arusha, Mwanza, Mbeya, DSM na sasa tunamalizia na Vijijini.
uhuru wa kweli utapatikana kabla ya 2015
 
Simanjiro kuna vijiji mia moja na alobaini sasa ni kipi ambacho kinahamia au porojo zako tu hapa
 
Source plz!tuache kurushana roho hapa!Mods Were are you?
 
Simanjiro kuna vijiji mia moja na alobaini sasa ni kipi ambacho kinahamia au porojo zako tu hapa

orkesmet,sendeka ana kitegauchumi chake pale cha zile nyumba kabla ya kulala unatkiwa ujaze jina kwenye kitabu,mara nyingi huwa kinaandikwa unakotoka orkesmet anakoenda orkesmet
 
Kijiji kizima.... Sasa huu mtaji wa magamba si ndio kwishnei.
 
Aisee, na bado!! NImeshawapiga mkwara kijijini (Tarafa ya Ukenyenge) kwetu wahame, nasubiri majibu ya kikao cha wanazengo ila kwa taarifa za haraka haraka zinaniambia tayari mwenyekiti wa kijijini (CCM) anamalizia kukabidhi ofisi na mambo mengine kwa mtendaji.
 
kwani wao ndio wanajua leo hicho ndio chama chao Wakaskazini.

badirisha mapingo hiyo haina mvuto, wenzio walisema CHADEMA ni waongo wa kutupwa.Leo kipo wapi hata kuvunja baraza la mawazir mwashindwa,jk kachanganyikiwa juu ya nani wa kumteua. Kila anayetaka kumteua ananuka ufisadi, kaja CHADEMA kutuomba tumemwambia atangaze hadharan nchi imemshinda ndo tutamsaidia zaid ya hapo msaada wenu hakuna.
 
Le Mutuz nae bila shaka yupo kwenye mchakato wa kuhamia Chadema.
 
Total liberation is around the corner. Long live Chadema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom