Kijiajiri kwenye IT

Kijiajiri kwenye IT

Sashu de Ten

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
26
Reaction score
36
Mambo vipi wanajikwaa..
Natafuta watu waliosomea it na computer level yeyote ya elimu tupate kuanza biashara hii..
Ningependa tuwe kama 6 tu tuanze hii mishe..
Nicheck whatsapp 0738283647
Nikueleze mchakato unaendaje then ukiwa interested tuanze, itakuwa poa ukiwa dsm..
Graphics designer
App developer
Softwr developer
Web designer
Video shooting
 
So unataka kuanzisha compuni ya kudeal na hizo vitu kwenye list??
 
Mbona hujaeka computer maintanance and phone repairing
 
Back
Top Bottom