Kijarida cha "Kumekucha" => Ya Libya na PPF

Uongozi wa JF ule uzi wa PPF ugandisheni yaani sticky. ili mapambano yaendeleeee .Hiii mifukoya FFF ina mambo.
 
Mwanakijiji, kwenye kijalida umesema habari zote ni kwa ajili ya burudani na kuelimishana,
huku unasema ni kuwaamsha watu wasilale tena. which is which?
 

nami nimeprint thank kamanda...
 
Mwanakijiji, kwenye kijalida umesema habari zote ni kwa ajili ya burudani na kuelimishana, <br />
huku unasema ni kuwaamsha watu wasilale tena. which is which?
sasa utaweza kuburudika vipi ukiwa umelala?
 
Anajianda kufichua ufisadi ppf?anasubili nini kufanya hivyo?huu ni unafiki,aseme huo ufisadi.
 
Hawa wafanyakazi wa PPF waende tu mahakamani, aka CMA or Commission for Mediation and Arbitration. Hii ni unfair termination

U know Erio umeamwamusha Ghost toka usingizini kwani sasa mujomba wako Makapa atajuta kukudumbukiza kazini akijua fika wewe ni kilaza CMA itakutolea nje na utalipa mapesa mengi sana kwa hao jamaa watatu.

Sasa mikosi na laana za watu zinakuandama sana na hii trela tu. Ijumaa huyu jamaa akitoa Dodoma walipofika Morogoro kupitia dereva Sallu (pimbi) wake wamesababisha ajali mbaya sana na kuua mpita njia ambaye alikufa papo hapo. Lakini ajabu huyu hii kesi imefukiwa kwani inasemekana familia imepewa Mil 10 na Polisi Moro Mil 5 ilikulimaliza hili suala bila kwenda mahakama sasa swali huyu jamaa anaogopa nini kwenda mahakamani na kukili kuwa tume-tenda kosa na kulipa faini ya kiasi kidogo kwa mujibu wa sheria. Wadau, JF na Mwanakijiji naomba mfuatilie hii habari kwa undani zaidi.

Vyombo husika lazima mfanye iundwe tume maalumu na hatua kali zichukuliwe haraka mfano timu ya RPC-moro, PCCB-moro, usalama wa taifa na wakereketwa wengi lazima haki itendeke. Sasa Willy lazima hata kivuli chako ukiogope kwani mengi mabaya yanakuja kwani lazima hata mke umuogope na shuka na pilo lako linawekukukapa.
 
Mwakijiji hiyo ya hao jamaa sheria inasemaje hawana pa kushika? Maana Bungeni hamna kitu tena kamati ndio tayari ni PPF
 
Jukumu lako umetimiza, kwetu ss wasomaji kuamka!!!!!!!!!!
 
Kamsaidieni basi rafiki yenu!!
wanajeshi wanafagia tu na kufeka nyasi hapa bongo!!!
 
Kanusho: Mawazo yanayonukuliwa hayawakilishi
msimamo au mawazo ya mchapishaji
na utawala wa kijarida hiki. Habari
zote ni kwa ajiili ya burudani na kuelimishana.
Jithibitishie kila usomalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…