Kijarida cha Economist ni "mdomo" wa mafisadi na wezi wa rasilimali za Tanzania

Donors were expected to support its 2016/2017 budget with Tsh2.8 trillion ($1.4 billion), but only Tsh600 billion ($300 million) out of Tsh3.6 trillion ($1.8 billion) pledged has been realised.... Kaka Mligo Augustino hao ndio wanaomiliki the economist na huwezi kuwafanya lolote!!
 
Halafu watanzania wameendelea kuishi na kuongezeka duniani
 
Mbona sijaona tusi lolote lile katika andiko lile? Au kidhungu kinanipiga za chembe!
Nisaidie tusi japo moja tu katika gazeti hilo nami nitoe mapovu!
 
Kweli dawa imewaingia, kila kukicha mnaliwaza The Economist, halafu eti unaliita kijarida hahaha, Mwambie Abasi pale Maelezo alifungie kama mlivyozoea huku uswahilini
 
Wanatoa kodi zao kwetu au wanapora maliasili yetu? Hilo gazeti si linatoka huko wanakotoka akina Accasia waliopora makinikia yetu ya thamani ya Sh 430 trillion? Sasa wanategemea uchumi wetu usiporomoke kivipi wakati wanaendelea kuupora?
 
Wakati makemikia yanapita ubungo kwenda bandarini ww ulikuwa wapi kwenda kuzuia?

Umewahi kuona piki piki ya escot ya wazungu ikiongoza makontena kwenda bandarini?

Maliasili tumetoa wenyewe kwa bure then unataka kuwapa wao lawama?

Tufanye ni ww leo unambiwa kontena moja la dhahabu ni equivalent to kontena moja la chandarua utakataa?
 
You have my support 100% comrade.Ni watu wachache sana wanaojitambua na wanao-ona ukweli huu.Congratulations.
 
Kumbe hiki kijarida ndo kimefanya sukari, cement na nondo zipande bei daaah inabidi kipigwe moto
 
Kweli dawa imewaingia, kila kukicha mnaliwaza The Economist, halafu eti unaliita kijarida hahaha, Mwambie Abasi pale Maelezo alifungie kama mlivyozoea huku uswahilini
Unadhani likiendelea na upuuzi na uongo litaachwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…