Ndugu zangu Watanzania, hebu tumuombe Mungu atuepushe na balaa lolote. Nimeota ndoto nzito sana, na natamani ibaki ndoto tu isije ikawa kweli.
Katika ndoto yangu kulikuwa na maandamano makubwa sana nchini, maandamano ambayo yaliitikisa serikali hadi kumlazimu Rais Samia kujiuzulu. Baada ya kujiuzulu, chama tawala CCM kilipendekeza makamu wa rais achukue madaraka kama ilivyo kikatiba, lakini wananchi wengi walikataa.
Cha kushangaza, nikaona kwenye vyombo vya habari kijana wa miaka 29 akitangaza kuwa yeye ndiye rais mpya baada ya kupindua uongozi uliopo. Hapo ndipo mgawanyiko mkubwa ulitokea nchini
Jeshini kulikuwa na askari waliomuunga mkono na wengine waliompinga. Viongozi wa dini nao wakagawanyika. Wanasiasa wakaingia kwenye vitani ya maneno. Hata wananchi wakagawanyika makundi mawili:
Wanaotaka CCM irudi madarakani
Na Wanaotaka yule kijana aendelee kuongoza
Mgawanyiko huo ulipelekea machafuko, mapigano, na hofu kote nchini. Ilikuwa picha mbaya sana — taifa likipoteza amani yake.
Ndugu zangu, hii ilikuwa ndoto tu. Naomba Mungu hatuepushe na ili maana kama hii ndoto ni maono
Eee baba tuepushe