Kiongozi akiwa na miaka 25
Valentine Strasser alikuwa rais mdogo zaidi wa Afrika wakati alipochukua mamlaka tarehe 29 Aprili 1992 akiwa na umri wa miaka 25 tu.
Hadithi ya kuchukuliwa kwake na jinsi alivyonusurika kwa miaka minne ni moja ambayo inafaa kusimuliwa katika kipindi hiki.
Labda Stressar angeweza kudumu zaidi kama asingefanya makosa mengi. Mambo ya nje kama vile vita nchini Libeŕia ambavyo vilichochewa na madini katika nchi yake pia vilikuwa vinachangia kuyumbisha nchi hiyo.
Hatimaye, Strasser aliondoka madarakani mwaka wa 1996 na Kwa sasa Stressar anaishi na mamake mjini Freetown katika umaskini mbaya.
View: https://m.youtube.com/watch?v=5zYIuDmYnfY