Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Joto la uchaguzi mkuu likiwa linazidi kupanda kwa baadhi ya wanasiasa katika halamshauri ya manispaa ya Geita Elia John Yohana mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni muhitimu Shahada ya kwanza ya Elimu ya sayansi ametangaza rasmi kugombea Ubunge Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 27 Bw. Elia amesema dhamira yake ni kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Geita Mjini huku akieleza kuwa Geita inatakiwa kukua kimaendeleo kutoka hapa ilipo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika kata 13 za manispaa ya Geita .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha ameongeza kuwasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu huku akisistiza wananchi kuendelea kulinda amani ya nchi yetu ya Tanzania.