Elf 2 kwa masaa 8 Duhh...Noma sana.Habari wapendwa poleni na majukumu.
Mimi ni mkazi wa mkoa wa Mwanza, Wilaya ya NYAMAGANA BUHOGWA....
Kwa uelewa wako tu Kuna watu (wadada wa kazi) wanalala saa 7 usiku then saa 11 alfajiri wapo macho na mwisho wa mwezi ni 30,000 mpka 40,000.Sis watu wa hali ya chini tuna tabu aiseee[emoji850][emoji850][emoji850]
😂seriously!!!?🙌...ni kidogo kitu lkn hapana aisee...Malipo yatakuwa 2000 kwa siku atachagua yeye alipwe kwa mwezi au kila siku ila kwangu mimi nashauri kwa
Kwa uelewa wako tu Kuna watu ( wadada wa kazi) wanalala saa 7 usiku then saa 11 alfajiri wapo macho na mwisho wa mwezi ni 30,000 mpka 40,000....
Malipo ya kazi yoyote ile yanategemeana sana na faida unayoipata wewe. Katika ile faida ndipo utakapopanga umlipe mtu shiling ngap?Mfano ingelikua ww ungetaka ulipwe shingapi labda