makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,707
- 109,249
Wanakuja wenye experience zao!
Kuna dogo ndio kazi zake na anaish uko sijui yupo hewani mahana tcra walifany yao
🤣 🤣 wana zuia outgoing bounds kwa simu sio za kuingiatcra walifany yao
Ngoja tuandae vyeti tunakuja
Ukipata kijana huyo kutoka humu JF njoo PM nikupe 20,000 bure
vijana wa JF wengi ni wavivu,wachagua kazi,wanataka kazi ambazo
hazitawaweka mbali na JF hawako tayari kupotea JF wanataka kazi
ambazo anafanya kidogo,JF kidogo mwendo huo huo ki ufupi wachagua kazi.
Labda member wa JF akuunganishe na kijana ambae hayupo JF
ila member wa JF aje kuuza chipsi posho 5000 tena kigamboni
ni mashujaa tu na watafaji wa maisha haswa ambao sijawaona JF.
wapo ila wakutafuta na torch na huwaoni kwenye comment wapo PM tu.
Kiongozi mbona mimi hua nafanya tu.. nishapiga kazi za mifugo sana tu.Ukipata kijana huyo kutoka humu JF njoo PM nikupe 20,000 bure
vijana wa JF wengi ni wavivu,wachagua kazi,wanataka kazi ambazo
hazitawaweka mbali na JF hawako tayari kupotea JF wanataka kazi
ambazo anafanya kidogo,JF kidogo mwendo huo huo ki ufupi wachagua kazi.
mkuu huyo kijana atakua peke yake!?, ama wapo kadhaa na (m)wenzie
Mkuu kama hiyo nafasi ipo nichukue nije nipige kazi ila niko mbali huku mkoani..
Atakuwa anafanya nenda rudi au atalala hapo hapo.Ndugu zanguni anahitajika kijana wa kuuza chipsi mwenye kuweza kutoa sahani zaidi ya 20 kwa ndoo moja.
Eneo ni Mjimwema (Kigamboni)
Posho ni 5000 kwa siku kula mchana na usiku ni ofisini
Mengine zaidi tutaongea
Kwa Mawasiliano: 0659445718