Kijana wa Kiume wa kuuza Duka -Hardware

Kijana wa Kiume wa kuuza Duka -Hardware

Umemaanisha wanabana??? Kwahiyo ulitaka uchekewe chekewe uibe....unajua mtu kafikaje fikaje hapo? Kama ni rahisi tafuta vyako.
Sijamanisha hivyo mwenyewe nina office zangu but ili ufanikiwe Zaid wajali wafanyakazi wako unakuta kuna office unaanza na mfanyakazi from zero to hero but humuongezi mshahara so what do u think ...pia usijikute mwema Sana kwamba ww ndio umepambana kuvipata kihalali wakati sote twajua mfumo wa nchi yetu umekaa kiwizi wizi sector gani Leo hii inawafanya kazi waminifu ambo hawaombi rushwa hawajiongezi ukilijuwa hilo
Basi utaweka mfumo rafki Kwa wafanyakz wako mfano kuwalipa overtime na posho mbalimbali kutokana na kazi za ziada zinazo jitokeza
Shida mabosi kama ww unafikilia ukishamuajili mtu umepata uhalali wa kummiliki na mbaya Zaid unatumia uhitaji wake kama fimbo ya kumchapia
 
Typing is free.....
 
Muda wa kutafuta kazi ndo huwa mpo hivi ngoja muipate sasa.....
Mi nna kijana ananiboa sana kero yake kubwa ni kuchelewa chelewa kazini na akiwa na dharura hasemi, na simu hapokei ananikera mnoooo....

Ila uaminifu 99% hata nikisahau hela nitaikuta yani sio mwizi kabisa, hiki tu ndo kinafanya nivumilie ufala wake.

Nawaza naweza kumtimua nikaleta kibaka.
Nachelewa kazini, lakini dharura nasema
 
Awe na uwezo wa kubeba mifuko kuanzia minne ya cement kwa pamoja,
 
Sijamanisha hivyo mwenyewe nina office zangu but ili ufanikiwe Zaid wajali wafanyakazi wako unakuta kuna office unaanza na mfanyakazi from zero to hero but humuongezi mshahara so what do u think ...pia usijikute mwema Sana kwamba ww ndio umepambana kuvipata kihalali wakati sote twajua mfumo wa nchi yetu umekaa kiwizi wizi sector gani Leo hii inawafanya kazi waminifu ambo hawaombi rushwa hawajiongezi ukilijuwa hilo
Basi utaweka mfumo rafki Kwa wafanyakz wako mfano kuwalipa overtime na posho mbalimbali kutokana na kazi za ziada zinazo jitokeza
Shida mabosi kama ww unafikilia ukishamuajili mtu umepata uhalali wa kummiliki na mbaya Zaid unatumia uhitaji wake kama fimbo ya kumchapia

ulio waajiri wanaraha...kwa maelezo yako unajal utu.
 
Back
Top Bottom