MmmmhTry me!
Bro ndio hiyo, usi ulize we pigia mstariNkajua ya mochwari
Umeibiwa nini mkuu Figo au Bandama?Shida ya vijana wizi, wizi jamani wiziii.....hadi unajiuliza hivi huyu alikua anatafuta mahali pa kazi au pa kuiba.
As long as I'm working in a mortuary, no man will be buried uncircumcised.Bro ndio hiyo, usi ulize we pigia mstari
FigoUmeibiwa nini mkuu Figo au Bandama?
Vijana wamesusa km kazi ajirini watoto wa Shangazi zenu kazi unatangaza ila mshahara hutangazi unataka mkalipane nini makubariano 40 kwa mwezi?Tatizo la jf ndio hili wakija vjana kutafuta kazi hta vbarua si vbarua wala kazi vinavyoonekana na vikija vbarua vjana ndio hawaonekani
Pole sana mkuu maana Figo ni kiungo muhimu sanaFigo
am serious aunt. watu hatufananiMmmmh
hesabu ndio imekuangusha dogoNishakosa kazi hii 😢dah!
Nitakucheki....am serious aunt. watu hatufanani
sawa sawa aunt.Nitakucheki....
Sema mabosi piya Wana ana sanaShida ya vijana wizi, wizi jamani wiziii.....hadi unajiuliza hivi huyu alikua anatafuta mahali pa kazi au pa kuiba.
Umemaanisha wanabana??? Kwahiyo ulitaka uchekewe chekewe uibe....unajua mtu kafikaje fikaje hapo? Kama ni rahisi tafuta vyako.Sema mabosi piya Wana ana sana
Signature yako ipo wapi? Ushakosa kaziAsante kwa muda wako na kuzingatia ombi langu.
Kwa heshima,
Jina Daudi Daudi
[Namba yangu ya Simu -PM]
Muelekeze tuu my former boss alikuwa anapiga simu mpka kero ,Muda wa kutafuta kazi ndo huwa mpo hivi ngoja muipate sasa.....
Mi nna kijana ananiboa sana kero yake kubwa ni kuchelewa chelewa kazini na akiwa na dharura hasemi, na simu hapokei ananikera mnoooo....
Ila uaminifu 99% hata nikisahau hela nitaikuta yani sio mwizi kabisa, hiki tu ndo kinafanya nivumilie ufala wake.
Nawaza naweza kumtimua nikaleta kibaka.
Jikazishe, kwani kitendea kazi si unacho?Wa kike tunakosa kazi duh