The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,458
- 13,465
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo hakuna fomular brothers hizi ni TIPS MAKINI
1 ) vaa upendezavyo kama kibonge usivae ma oversize vaa nguo zina kushika kiaina mwili , pia vaa rangi za kung'aa kama red ,njano au meusi ya
kupendeza .
2 ) kuwa msafi always
3)tumia low tone uongeapo na wakike.
4)sikiliza 60% ongea 40%.
5)simama ukitaka kumsalimia
6)kamwe usifanye jambo linalo ashiria hisia za ngono ,mfano kupekesha kwa kidole ,kukonyeza,badala ya kusema anabambataa sema ameumbika .
7)kuwa on time hata mabo ya kipuuzi ,mfano akiulizia movie mpe kwa muda uliotamka
8) kuwa mcheshi kwa rafiki zake kuzidi yeye.
9) wadau tuongezeane maujizzzz..............!