Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,513
- 1,490
Ndugu habari za usiku! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kijana wa kiume ambaye atakuwa anawahudumia kuku wa mayai.malazi kwangu na chakula,mshahara utaongezeka pindi kuku watakapoanza uzalishaji yani kutaga mayai, kijana awe muanifu na mwenye uzoefu kidogo katika maswala ya ufugaji.
Aliye tayari au mwenye kijana au ndugu yake ambaye hana kazi ani PM tujadili zaidi.eneo la kazi ni mkoa mpya wa songwe.
Ahsanteni sana
Aliye tayari au mwenye kijana au ndugu yake ambaye hana kazi ani PM tujadili zaidi.eneo la kazi ni mkoa mpya wa songwe.
Ahsanteni sana