Kijana wa kiume akamatwa akimfanyia mtihani mpenzi wake wa kike

Yule ni afisa mitihani.hahahahahaah
 
Inaonekana jamaa alikuwa anamtokea du mara kwa mara lkn due akawa anampiga chini mwana,mwisho wa siku jamaaa akaambiwa ukitaka nikukubalie ombi lako njoo unifanyie mtihani then nikifaulu ntakupa papuchi,sasa kabla mission haijakamilika hatimae waamekalia kuti kavu.
 
Ni mtu wa quaity assuarance...kaz ni kuhakikisha mitihan imetungwa standard na no cheating at all
yule bwana yuko vizuri sana kwenye ukamataji, ila kuna siku demu wa law mwaka wa 2 (2013 iyo nah kabla aijaitwa sijui jina gani) aliwatoa jasho.

alionwa ana migi akafatwa kwa spidi kali, akawaotea akaitafuna fasta na kuimeza. walikosa ushahidi demu akabaki chuo.
 
hahahahahahahha, sikutaka kukisema chuo changu hadharani, hahahahaahh
wewe ujasoma pale itakuwa ulikuwa una hadithiwa tu, maana umesema ulisomea hotel management pale hamna iyo.

mara umekiita ka chuo,mu iwe ka chuo na vingine vitakuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…