Ni rahisi kuvuna kuliko kupandaKijana wa Kitanzania
1. Akioa/Kuolewa mnamchangia
2. Akifa/Akifiwa mnamchangia
3. HBD yake ikifika mnamchangia
4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia
Lakini
Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
Ni usenge tuTake it easy bro.
Fanikiwa ila usifanikiwe kutuzidi.
Tobo lako toboa mwenyewe .
Ukishaujua ukweli , Kuna kazi ya kuukubali ukweli. Kuuishi ukweli ..
Wangese kungesenyanaNi usenge tu
Huwezi amini katika vitu sivitilii maanani basi ni birthday, mashosti zangu walishapeleleza birth date yangu wani surprise walichemka..!!
Hahahaha weka date bwana tuchange pesa ya cake chaapHuwezi amini katika vitu sivitilii maanani basi ni birthday, mashosti zangu walishapeleleza birth date yangu wani surprise walichemka..!!
Kuna kamtu kamoja tu ndo kalijua na kaliwahi kuni surprise nako nilikasamehe sababu ya umri wake na umuhimu wake kwangu..!!
Hivyo vitu sio mambo zangu…!! 😹Hahahaha weka date bwana tuchange pesa ya cake chaap