Nakataa...siyo hatari kiasi hicho....kikubwa sisitiza watu kuheshimu miili yao mkuuNB: MKE WA MTU NI HATARI ZAIDI YA UKIMWI
Mwanamke kama anakupenda kweli anaanzaje kunasa kwa vijana wa hovyo maybe hao vijana wa hovyo wana kitu ambacho wewe hunaWake za watu ndo wanabidi wajitafakari Sana.
Mbaya zaidi awe na watoto, unaanzaje sasa yaaniMtu na akili zako unaanzaje kumkula mke wa mtu? Labda hawe hajaolewa!
Mwanamke kama anakupenda kweli anaanzaje kunasa kwa vijana wa hovyo maybe hao vijana wa hovyo wana kitu ambacho wewe huna
Kwa nini akubali kuolewa na mtu ambaye hana kitu ambacho vijana wa hovyo wanachoMwanamke kama anakupenda kweli anaanzaje kunasa kwa vijana wa hovyo maybe hao vijana wa hovyo wana kitu ambacho wewe huna
akitaka asigongewe aoe mwanamke mwenye sura kama poromoko la ma*v, na tako flat kama tofali za choma na awe na miguu myembamba kama fidodidoš¤£š¤£Hata ukitutishia unajichosha tu unawatisha wadau wasikugongee Nini
Kamateni mmoja paka mafuta makalio kisha mlete uzi. Hapo watakoma. Mkiendelea kulialia wanavimba kichwaJF kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana, wanatembea na wake za watu kisha wanakuja kuweka Uzi hapa JF tena wakijinadi,
wanatoka na waume za watu wakumbushe na wao kujitafakariWake za watu ndo wanabidi wajitafakari Sana.
Huenda alimdanganya anachokifanya kumbe hanaKwa nini akubali kuolewa na mtu ambaye hana kitu ambacho vijana wa hovyo wanacho
Kwa nini asiolewe na hao vijana wa hovyo wenye hicho kitu kuliko kusumbuana kwenye ndoa?
hapana mkuu tusitetee makosa bali tuyapingeHuenda alimdanganya anachokifanya kumbe hana