Wanaume walivyo utashangaa anasema yupoyupo simpendi ila baada ya wiki kadhaa unaona bidadada anapata kichefuchefu
Hatakiwi kumwekea vijiti anatakiwa asimguse kabisa....kama ana mpango wa kumrudisha na afanye hivyo sasa aache use.nge. Kabinti ka watu ukute kalikuwa ka bikra maskiniJamaa kamwekea vijiti asizae nae
Ndio uleewe tafsiri ya upendo kwa mwanaume sio sex. Tunaweza gonga ata tusio wapendaWanaume walivyo utashangaa anasema yupoyupo simpendi ila baada ya wiki kadhaa unaona bidadada anapata kichefuchefu
Hii sio sawa kabisa...muwe mnafanya hivi kwa hawa maslay queen wa mjini sio hawa watoto decent waliotunzwaKichefu chefu anapata mtu hata kama hapendwi. Sababu ni simba na swala ama mbuzi na majani huwezi waweka pamoja.
Kumbe aendelee kuishi nae basi anaweza kuja kumpenda siku za mbeleniNdio uleewe tafsiri ya upendo kwa mwanaume sio sex. Tunaweza gonga ata tusio wapenda
Ndio hivyo same jamaa inaonekana ana haraka sana ila akiwa na subira anaweza baadae akajikuta yeye ndio anadata kabisaaKumbe aendelee kuishi nae basi anaweza kuja kumpenda siku za mbeleni
Abee..manini?[emoji28][emoji28][emoji28]Kwahiyo jamaa kauziwa mbuzi kwenye gunia?
Ila duniani kuna watu wazembe sana. Huyo jamaa ni mmoja wao. Hapo hamna namna ampikie masotojo masaptasapta na marotarota manzi atavuta room tu.
Kwahiyo si anamkula kama kawaidaJamaa kamwekea vijiti asizae nae
Makilakitu, yani akienda sokoni anunue mazagazaga ya kushanta mke atanawiri tu.Abee..manini?[emoji28][emoji28][emoji28]
Unataka kusema jamaa haja tomb* hadi leo[emoji23]I hope mko poa humu,jana katika harakati zangu huwa napenda kuongea sana na watu wapya.Basi, kuna sehemu nikawa nimekaaa na kijana mwenzangu tukawa tunapiga stori mbili tatu.
Katika mazungumzo yetu akagusia kwamba umeoa au,nikamwambia bado akaniuliza kwanini bado? nikamjibu muda ukifika na nikiona kwamba na uhitaji wa kuoa ntaoa.
Mimi pia nikamuuliza wewe vipi umeoa? Akacheka kidogo akanijibu,nimeoa kwa force ya wazazi na mke nimeletewa ila sina mapenzi nae niko nae siku ya nne ndani ila yaani simpendi.
Akaniambia labda nimshauri kutokana na hiyo kadhia,wazazi wake walimforce aoe ila akawaambia subiri kidogo au mnitafutie mwanamke huko nyumbani basi wazazi bila iyana wakamtafutia binti na picha wakamtumia sasa picha ile walikuwa wameizoom jamaa akaona fresh,siku anayoenda mbezi kumpokea jamaa alisema alinyong’onyeka sana hakuamini alichokiona binti ni mdogo sana,mfupi na mwili hana na yeye anapenda nyama nyama.
Baada ya kumpokea ndo leo siku ya nne wapo nae ndani yaani yupo yupo tu kuzimu hayupo dunianu hayupo yaani mwanamke hamvutiii kabisa,akiwaambia kwao anataka amrudishe wanamwambia mlishe mwili utakuja tu la si hivyo utatutia aibu.
Kiufupi jamaa anawakati mgumu.Ndo maana mimi hayo mambo ya kutafutiwa mke siyataki kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa kijana wa chugaMakilakitu, yani akienda sokoni anunue mazagazaga ya kushanta mke atanawiri tu.
Yaani hata ule mlango hawatauona hakiKwahiyo si anamkula kama kawaida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume hamuendi mbinguni.