Kijana; Usibabaishwe na wanawake

Daaah..... Kimilioni kimoja...

Mkuu wewe unapokea ngapi
Samahani kwa kutumia lugha ya kebehi.
Million moja mkuu nilimaanisha.

Mpaka 2020 Mungu akipenda bajeti yangu ya mwaka itakuwa Milioni 100.

Ongezeko la pato la kila mwaka si chini ya 15mil
 
Reactions: ywf
Kama ni kweli hongera.ila ukitaka kuwasaidia vijana hawa nenda inst huku hawapo kabisa kiukweli vijana wanachezea mitaji sana.
Mkuu amini Usiamini Kilimo kinalipa. Usikubali kupitwa mkuu.

Ukikosa kabisa Kwenye kilimo unapata chakula cha nyumbani cha mwaka Mzima.

Siri hii ni kwa wenye kufikiri si wenye kuona
 
Sasa hapo utumwa kwa wanawake unatoka wapi?? Labda ungesema kuwa mtumwa Wa mwili wako..
 
We kuwa bahili tu,mwisho wa siku ukifa mali zako zitaangukia kwa wafujaji
 
Upo sahihi Mkuu.

Wapo wanaotoka na wanawake wengi lakini hawababaishwi.

Hakuna faida ya kutembea na wanawake wengi Mkuu. Mwisho wake si mzuri zaidi ya majuto.

Ni kweli na upo sahihi lakini kama nilivyosema uki 'count' faida na hasara unakuja kuhitimisha kwamba hasara ni nyingi tu tena zipo wazi kuliko faida lkn hizo faida chache pia zina msaada muda mwingine

Moja na kubwa wanawake/dada zetu hauwezi tu kuwajua labda kwa kuwasoma au mafundisho yoyote hata kama yanatolewa na taasisi za imani ( dini zetu) mpaka uwajue kwa kuwa nao karibu yaani uwe 'mtundu' kidogo ndo utawajua kwa kiasi fulani na dunia yao na hapa ukaribu wako na wao ndo 'at least' unaweza ku 'predict' kwamba mwanamke akisema hivi ndo ana maanisha nini (hapa jua wenzetu wanachosema sio wanacho maanisha kwa sehemu kubwa )

Sasa ukiwa 'dull' sana na unapotaka sasa ku 'settle' na wa chaguo lako na hapo miradi yako imetoboa vizuri ndo unaangushwa na 'shem' hapo nyumbani maana wanawake wanachanganya na unaweza hata ukapoteza dira yako yote ya maisha na sababu labda haukuwajua kwa kuona labda watakuharibia malengo yako leo (sisemi hapa ni lazima kuwajua) ila kwa case yangu kuruka ruka hapo ujanani kwa namna fulani kumenisaidia ku 'settle' na shem wako kwa kupitia 'zoefu' mbalimbali za miaka hiyo ya kurukaruka ( sio sifa kwa hili ni kuelimishana tu)

Kwa upande wa utafutaji kama nilivyosema malengo na vipaumbele ukijumlisha na hamu yako ya mafanikio hakuna mtu au mazingira yoyote yatakayo kurudisha nyuma

Ila nakupata sana mkuu kwa wanao jiachia na kuenda 'mazima' wanapotea sana tu
 
We kweli Bandu bandu. Mbona wanipa huzuni mkuu.

Daah!
Nakutania tu lakini ni kweli kabisa nimependa hiyo kauli ya kuwa wanawake wako kwa ajili yetu na siyo sisi kwa ajili yao nimeipenda sana na huwa ninaitumia sana mpaka mademu wananiambiaga naringa oooh mara mkorofi
 
Hukuwa mtumwa wa wanawake
ukawa mtumwa wa maneno ya babu.
utumwa hauepukiki maishani

Hongera...
ila usithubutu kukutwa na mwanammke akakushika. utahonga shamba na matikiti na cherehani zote.
endelea hivo hivo kuwakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…