Kijana unatafuta ajira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana unatafuta ajira?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Wazo Langu, Mar 22, 2011.

 1. Wazo Langu

  Wazo Langu JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 1,344
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  Mimi ni kijana mwenye taaluma.
  Nimetafuta kazi ya kuajirirwa kwa mshahara unaolingana na taaluma yangu bila mafanikio.
  Naishia kufanya vibarua tu.
  Nimeona niwatafutevijana wengine wenye fani mbalimbali tuungane na kuanzisha kitu kitakachoweza kututengenezea ajira.
  Kwa pamoja naamini tutaweza, nina vitu vingi vya kuwashirikisha lakini pia nitajifunza toka kwenu.
  Kama utapenda tuwasiliane nitumie Private message (PM)
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sawa mheshimiwa!!!!
   
 3. m

  madata84 Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sawa mheshimiwa mawasiliano yako mbona hakuna tupe mawasiliano, je ni fani mchanganyiko au pia sijaliona. Thanks
   
 4. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Weka jinsia yako, elimu yako, n k
   
 5. Mathematician

  Mathematician JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2009
  Messages: 326
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  weka contact zako kijana!
   
 6. Wazo Langu

  Wazo Langu JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 1,344
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  Fani tofauti
  Anza kwa kuni pm kama utaona wahitaji kuwasiliana na mimi zaidi nitakupa contacts
  itategemea tutakavyojadiliana.
  Siwezi kuanika details zangu kirahisi.
   
 7. m

  maltox New Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  am a graduate of two undergraduate degrees, which are philophy and law. i can make you a very competent worker.
   
 8. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kutakuwa na forms za kulipiwa au kila kitu ni bure?
   
Loading...