Kijana unaanzaje kupiga Punyeto kwa sasa na utitiri huu wa wanawake

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Enzi zile walikuwa wanapiga Nyeto kwa sababu mademu walikuwa wachache,yaani unaweza kuta kitaa kizima kina demu mmoja tu mkali alafu wahuni wote wanafukuzia, hapo ndipo ule msemo wa mwenye kisu kikali unapofanya kazi,

ila kwa sasa hivi kijana unaanzaje kupiga Punyeto na mademu wakali wote hawa, yaani ata usipokuwa na kisu kikali lazima ule Nyama,
siku hizi unasafisha gheto kwanza unatoka nje unatongoza demu unapata siku hiyo hiyo na kumla juu,

Papuchi imekuwa Easly sana siku hizi, na kama hujawahi kugonga demu mkali unatakiwa Ujitazame mara mbili mbili,

Kijana acha punyeto tusaidianeni kuzitafuna hizo papuchi zinazozagaa huko mitahani,
Kusema kweli peke yangu nahisi kuzidiwa na kuzimaliza siwezi, maana kila siku navuta Chombo mpya lakini zingine zinazidi kuzaliwa na kuja.

Cc Zero IQ
 
Sio kila anaepiga nyeto hana dem
Unaweza kuwa na demu na huna access ya Kupata papuchi yake kwa wakati hivyo unaishia kupiga Nyeto sasa kwa nini ufanye hivyo na mademu wote hawa ata Mungu mwenyewe anakushangaa
 
Shida ya vijana wengi ni mazingira.

Wengi wapo single schools huko high school

Wengine ni wavulana lakin hata kutoka nje ya nyumba unamuaga mama Kwanza.

Sio wote Wana magheto.wanaweza kuwa na mademu kabisa lakini pa kuwangoea ndo wakifika chuo wakipata magheto huwa micharuko.

Uhaba wa hela
Na mwisho kabisa

Udomo zege.wengine wanawaogopa wasichana
 
Domo zege ujuzi wa kutongoza SIFURI.

Enzi zile walikuwa wanapiga Nyeto kwa sababu mademu walikuwa wachache,yaani unaweza kuta kitaa kizima kina demu mmoja tu mkali alafu wahuni wote wanafukuzia, hapo ndipo ule msemo wa mwenye kisu kikali unapofanya kazi,

ila kwa sasa hivi kijana unaanzaje kupiga Punyeto na mademu wakali wote hawa, yaani ata usipokuwa na kisu kikali lazima ule Nyama,
siku hizi unasafisha gheto kwanza unatoka nje unatongoza demu unapata siku hiyo hiyo na kumla juu,

Papuchi imekuwa Easly sana siku hizi, na kama hujawahi kugonga demu mkali unatakiwa Ujitazame mara mbili mbili,

Kijana acha punyeto tusaidianeni kuzitafuna hizo papuchi zinazozagaa huko mitahani,
Kusema kweli peke yangu nahisi kuzidiwa na kuzimaliza siwezi, maana kila siku navuta Chombo mpya lakini zingine zinazidi kuzaliwa na kuja.

Cc Zero IQ
 
Si kuna kinga Mkuu? Au!?

Tatzo sio papuchi...tatzo n magonjwa mzee baba....imagine ukwae HIV at 20's,yaan n hatari....ukimwi n mbaya sana....kama huamini nisemayo we nenda wodini siku moja tu uone wenye ukimwi walivyo.....hali n mbaya sana....
 
Back
Top Bottom