Mwenzake Usa jana kaua watu kibao kisa mademu awamtaki.Hii dunia so sad
Rampage in college town began with stabbings - CNN.com
Nimesoma kitabu / waraka wake kwa kweli huyu kijana alikuwa na kipaji ambacho kama kingetumiwa vizuri angekuwa na faida kwa jamii kuliko sasa ambapo ameitia jamii hasara. Nafikiri hakikugunduliwa kwani uandishi wake na kuweka mambo yote hayo ktk mtiririko kama alivyofanya ni kipaji kizuri. Silaumu mtu hapa bali haya ni mawazo yanguMwenzake Usa jana kaua watu kibao kisa mademu awamtaki.Hii dunia so sad
Rampage in college town began with stabbings - CNN.com
Ugumu mbaya...
ugumu au ushenzi tu mbona bidhaa tele tu!khaa