Kijana mwenzetu mwanajamii mwenzetu

Kijana mwenzetu mwanajamii mwenzetu

Askof Mstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
924
Reaction score
4,589
Kijana mwenzetu mwanajamii huyu tupo naye kitaani tuki-hustle for good life, ni mototo wa kishua ila hakutegemea vya wazazi anataabika apate vyake ni jambo jema tulimpongeza kwa hilo.tulishauriana mengi kwenye harakati za kufikia levo flani za maisha hakuwa na nongwa wala majivuno kijana huyu licha ya kwao kuwa mambo safi tuliishi vizuri na tutaishi vizuri

Kijana huyu mwanajamii mwenzetu alikuwa na maradhi yake ya hiari aliyoyaendekeza hakutaka kuyatibu licha ya kuwa matibabu yake ni ya hiyari yaani free of charge. Kijana mwenzetu ugonjwa wake ALIPENDA CHINI zaidi ya sana kuwa na mademu wasio na idadi ilikuwa sehemu ya maisha yake.aliopoa na mademu kibao kutoka kila kona ya mtaa, watoto wabichi, size ya kati na waliokomaa. Kila alikorusha ndoano yake watoto walinasa kutokana na mwonekano wake he's good looking indeed! Sio tu mitaani aliwaweka mademu wengi kwa bed yake, mpaka wale wa mitaa ya mbali kwa msaada wa badoo, hitwe na tender aliagiza malaya online wakamfikia maskani kwake. Bila ya kujua historia zao akapiga shoo Kali kitaani akaja tuhadithia tukamsifia.atake nini tena kila anayemtaka alimpata hakuwaza kesho maskini mwanajamii mwenzetu

Ni takribani miezi mitatu sasa amejifungua ndani ni wa kuwaza na kulia tu dunia yote ipo mabegani mwake, amekonda amebakia kichwa tu ule uhendisamu wake haupo tena, kijana mwenzetu mwanajamii huyu kauvaa ukimwi akiwa mbichi mno miaka 23 oh my god he's too young! Hakondwi kwaajili ya maradhi ya virusi vya ukimwi bali ni stress na namna ya kukubali hali halisi na kuanza maisha mapya kama mwathirika.

Wa kulaumiwa nani? Tulaumiwe sisi washkaji wake wa karibu tulioishi nae tulioshinda wote tukaacha kumshauri juu ya mwenendo wake mbovu badala yake tukamsifia kwa kuwanasa watoto wakali leo hii majuto sote kwetu. Nakukubali sana mchizi wangu ulitema madini kibao jinsi ya ku-make money! Nitamani siku zirudi nyuma nipate fursa ya kukushauri hata usiponisikiliza kusudi lawama zinipite kushoto lakini haiwezekani. Hili ni pigo sote sio tu kwa familia yako I'm so sorry my friend sikuplay part yangu vyema kama rafiki mwema kwako I'm feeling guilty!

Zero IQ jifunze kitu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😢😢😢😢😢
 
Pole yake, hizo ni changamoto za maisha afuate ushauri wa daktari na maisha yataendelea kama juzi tu.
 
Dah Mwambie maisha bado yanaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliewahi shindana na alipotokea akashinda.
 
Hizi story za ngoma zamani ndio zilikua zinatisha!

Lakini siku hizi naona kama kitu cha kawaida tu
 
Back
Top Bottom