Wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki 1 ili kijana mwenzenu nipendeze siku ya harusi ya dada yangu?

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,691
3,859
Habari zenu wazee baba

Holaaa holaaa mambo ni moto. Hatimaye harusi ya dada imekaribia na kama kaka wa makamo nimeambiwa lazima nivae suti.

Sasa basi ni lazima nitinge suti kali kimodo fulani hivi cha kisasa ukumbi mzima washangaee na niweze kung'oa mademu kupitiia hiyo suti nitakayovaa.

Msaada ninaohitaji kutoka kwenu ni wapi nitapata suti kali kwa bajeti ya laki moja kuanzia juu hadi chini? Tupia picha ya suti kali kama unayo niweze kuangalia fashion..

NB: Mimi sijawahi kuvaa suti tangu nizaliwe ndo nataka nivae hyo tarehe 30
 
Hongera kwa dada yako kuolewa, vilevile msalimie sana. All tha best bro. Kuhusu suti sina uzoefu, mara ya mwisho mzee alininunulia ya 70k kwa ajili ya form 4 graduation......

Probably andaa above 250k
 
Back
Top Bottom