Watanzania tunalalamika sana inapokuja kwenye swala la soko la ajira,
nashukuru jamvi hili limetoa kipaumbele kikubwa kabisa kwenye swala
la kupashana habari juu ya nafasi za kazi mbali mbali.
lakini wakati haya yanafanyika kuna vijana huku wanacheza na kazi kweli kweli.
kuna huyu kijana alipata kazi hapa ofisini kwetu kama mwezi na nusu sasa, kijana
inaonekana kasota mtaani anatafuta kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.
ile kuanza kazi tu, baada ya wiki moja, siku moja hakutokea kazini bila taarifa yoyote,
akipigiwa simu hapokei, akaja baada ya siku mbili na excuse kwamba alikuwa na family
issues, tukamchunia, karudia tena last week, kaacha tu kuja kazini, hakutoa taarifa si kwa
supervisor wake wala kwa rafiki yake kazini, three days kimya, akipigiwa simu hapokei,
siku ya nne kaja akakimbilia kuomba ruhusa HR hapo hapo akawafired.
Naomba tuwe na nidhamu ya kazi basi japo kidogo jamani
Hayo ndio matatizo yetu Tanzania, wengi hatuthamini kazi kwa ajili ya kuleana. Utakuta mtu kishaota mvi (za ukubwa si za ukoo) lakini bado analelewa. Bila ya kubadili msimamo na kuwalea watoto zetu kuwa "independent" hayatokwisha haya, we are too "dependent" na ndio maana kila siku hatuishi kuilalamikia Serikali, haijfanya hivi haijafanya vile, its all in our heads. We need to change we do not need a change.
Duh!! Basi bwana kufa kufaana, mi naomba hiyo position yake, nichape kazi mpaka kieleweke Mkuu.
Hayo ndio matatizo yetu Tanzania, wengi hatuthamini kazi kwa ajili ya kuleana. Utakuta mtu kishaota mvi (za ukubwa si za ukoo) lakini bado analelewa. Bila ya kubadili msimamo na kuwalea watoto zetu kuwa "independent" hayatokwisha haya, we are too "dependent" na ndio maana kila siku hatuishi kuilalamikia Serikali, haijfanya hivi haijafanya vile, its all in our heads. We need to change we do not need a change.
Kwa mara ya kwanza leo umekwa point.BIG UP.
Watanzania kwenye suala la ajira huwa tunakuwa na so many excuses sijui shangazi mgonjwa mara mtoto wa baba mkubwa anaumwa nimeambiwa nimpeleke hospitali