yeah, hapo umenena, ina speaker na kuna kama betri kwenye vest, ni kama CS, real man aina ya gemu, COUNTER STRIKER, (CS) hapo ukichapwa risasi au ukipiga adui , speaker itatoa sauti kukujulisha,Hiyo ni toy tu!
Silaha gani inakuwa na speaker kwenye butt.
Halafu inamkanda kama wa suruali.
Inaonekana inatumia heavy duty battery ambayo imechomekwa kwa nyuma ya vest. It's just for his fun! Not a real gun, n after all to have that toy ina TZ u r knocking the doors of Segerea!