Kijana kampiga mama yake kisa mke wake

Kijana kampiga mama yake kisa mke wake

Labda mila na desturi zao zinaruhusu kijana kumpiga mama yake. huwezi jua maana duniani kuna mila na desturi za ajabu sana
 
Utamu wa papuchi unapopunguza uwezo wako wa kufikiria na kuwa mwendawazimu na haya ndio matokeo yake............
 
Acheni ujinga nyie.
Mtu akifanya kosa lazima apigwe
 
Back
Top Bottom