kitomondo1
Member
- Oct 2, 2014
- 98
- 17
- Thread starter
- #21
Duh yanatokea hayo wangapi wapo mjini wana maisha mazuri majumba mazuri na magari ya kifahari lakin ukienda kijijini kwao wanakokaa wazazi wake walomzaa tena huenda aliwapa tabu wakat mdogo walijinyima kwa kumlea leo hii unawatenga hata mungu hapendi ndo mwisho wa yote unakuta jamaa anapata mkasa au ajali mbaya hafi ila ndo atavunjika vunjika cha moto anakiona hapahapa dunian jaman tusijisahau na maisha ya mjini na kupelekwa pelekwa na wanawake tulowajulia ukubwani tuwakumbuke walotulea na kutufanya tufike hadi tulipo