ALU255
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,089
- 2,126
- Thread starter
- #21
Yah ni kweli kabisa unachosema lakini bikra inasaidia kupunguza baadhi ya mambo kama niliyoyaeleza hapo juu hizo ishu za magroup na waschana wenzake+ porno ni vitu ambavyo viko pande zote mbili kwa bikra na asiebikra ila ukipata bikra na hayo mambo mengine hana unakuwa na uafadhali tofauti na used hana kama haangalii porn anajua ladha kutoka kwa wengineKumbuka tunaishi kwenye ulimwengu uliotawaliwa na utandawazi unaweza ukaoa bikra lakini akawa anatazama porno,au akawa kwenye magroup ya WhatsApp ambayo wanawake wanaelezana namna wanavyofikishwa kileleni ,plus style tofaut tofauti, bro swala LA kuogopa kumegewa demu wako .lisikufanye uamini kuwa suluhisho n kuoga demu bikra ,sio kweli kabisa, .. ... Utaoa bikra na watu watajilia tuu km utakua mzembe,au akiwa na tamaa zake...