Kijana Exaud, mbunifu anafurahisha!

Kijana Exaud, mbunifu anafurahisha!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
20210421_113314.jpg
20210421_113325.jpg
Inked20210421_231835_LI.jpg

Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa.

KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA

Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili" pikipiki yake.
Hapo nikasimama na kumuuliza ametoka wapi, kasema ametoka mashine ya kusaga, katumwa na mama!

Hii imenikumbusha na mimi utotoni!
Hongera sana Exaud!
 
Ubunifu huo watoto wa mbeya tokea zamani
Naona mpaka sasa bado wanauendeleza
Safi sana

Ova
 
Eti unaulizwa ulichangia changia kukuza kipaji na za picha au ulipita kavu
 
View attachment 1764804View attachment 1764805View attachment 1764810

Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya.
Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa.

KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA

Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili" pikipiki yake.
Hapo nikasimama na kumuuliza ametoka wapi, kasema ametoka mashine ya kusaga, katumwa na mama!

Hii imenikumbusha na mimi utotoni!
Hongera sana Exaud!
Iringa vinaitwa VIGELETI..kikikuangusha tegemea kulala bed mwezi 1 hayo mambao yakifumuka kwenye mseleleko .utaimba haleluya...tumeendesha mno enzi hizo
 
Back
Top Bottom