Kijana, don't settle with your agemate

Utetezi namba moja.
Age sio kigezo cha usemayo case closed!

Umri haujawahi kuwa ishu hata siku moja, hako kadogo-kadogo kanaweza kukuhenyesha mpaka ukamtamani mshangazi. Kwenye ishu nzima ya Mahusiano kinachoamua mdumu au msidumu ni kwa kiwango gani mmeoana au kuendana. Vinginevyo ni sarakasi tu. Na asiwepo wa kugusa post yangu
 
Mimi nimeoa millenial mwenzangu, ana mwili mzuri sana japokuwa ameshazaa watoto 3.

Hawa Gen Z kwenye upande wa miili ni nyanya balaa. Yani wana miili ya hovyo kuwahi kutokea dunia hii.

Kuna binti wa 1995 aliwahi kupost picha yuko na wadogo zake wa 2000, kimuonekano unaweza sema yeye ndiyo mdogo kwao.

Kwenye suala la mili bora, aise Millenials wanabaki kuwa the bestβœ…
 
Kaka mkubwa ulikosa kabisa picha nzuri ya Rihana?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo hapo yupo kama Shilole.

Ila wanaooa wasanii wana mioyo migumu labda iwe kwa ajili ya career zao, yaani unajua fulani na fulani wameichapa na wewe ndo unaiweka ndani.
 
Fitness muhimu sanasana kitambi, ni cha kukiondoa kabisa.
 
Mudua mfupi uliopita kabla sijaona na kusoma uzi huu mimi na classmate tulikuwa tunajadili the same mada kuhusu agemate wetu wa kike jinsi walivyozeeka na kutuacha wenzao wa kiume tukiwa bado vijana wabichi kiasi kwamba hata tukitaka kuoa tutapata watoto wa 2000 ambao tunawazaa kabisa. Kuoa mwanamke mnayelingana umri lazima akuzeekee mapema na kukuacha bado kijana unayetamani mabinti wadogo na kumuona mkeo ni kikongwe kilichokaukiwa ute ukeni na kulegea misuli ya uke!
 
Rihanna ameachana na Chris B ila amekuja kuzaa na kijana mdogo ambae amemzidi miezi 7 na jamaa Asap anajua kupiga mashine ni anamtungisha mimba juu ya mimba
Halafu ASAP ni wahuni kitambo angalia crew yao yote wote wamezaa na mastar ASAP ROCKY,ASAP FERG,ASAP THUGGIN,ASAP RICH wote wamezaa na mastaa wakubwa..
 
Mkuu Natafuta Ajira vijana wa kiuke wasipoelewa hizi dondoo zako za kila siku basi tena.
Wengi tayari walishafanya makosa ya kiufundi. Wanaume tuna ego, kwahiyo wanaweza kuwa wabishi kidogo kukubali wamekosea. Lakini kadili siku zinavyoenda wataelewa taratibu. Uenda mabadiliko completely kabisa tusiyaone kwenye kizazi hiki
 
Huyu si ndo alichapwa kibao na mkewe mbele ya kamera. Hautakiwi kuzidiwa au kulingana umri na mkeo.
 
Halafu ASAP ni wahuni kitambo angalia crew yao yote wote wamezaa na mastar ASAP ROCKY,ASAP FERG,ASAP THUGGIN,ASAP RICH wote wamezaa na mastaa wakubwa..
Wanakipiga sana mashine mademu wanashoboka kuchokonolewa chini sio utani mpaka wanazaa ila si unajua wahuni ni wahuni tu
 
Bila kujali changamoto ya kuja kuchapiwa na vijana wadogo wenye nguvu za kupeleka moto mkubwa ni bora ukaoa mke uliyemzidi umri hata nusu ya umri ulio nao, kuna raha yake mapenzini. Mpaka aje azeeke mtakuwa mko sawa uzeeni na utakuwa huna tamaa ya kutamani mabinti maana we na mke wako mtakuwa wazee wote. Mke atakufikia uzeeni haraka na kuwa mko sawa.
 
Duhh Rihana kavimba vimba kinyama uso kama kanawia amira
 
Mke wangu alikuwa ni pisi ya kwenda yaani huyo Rihana changanya na manzi mwingine mkali unayemjua. Mtoto wa kwanza wa pili mafuta yakaanza akapata ka kitambi flani hivi sema tu yuko na salio anabalance equation yaani na vile sipendi vitambi.
Afanye mazoezi na diet ingawa sijui utaanza kumwambiaje maana kuna uwezekano mkubwa akachukulia personal.

Lakini yote kwa yote, watoto wawili sio rahisi tumbo kurudi flat kabisa. Ingawa wanawake wengi wanabweteka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…