Kijana Ben

Yaani ningehakikisha miaka 30 inakuhusu, hapo pa mpambe pia sio mbaya, jiandae tu maana makando kando yako yooote nayajua.
Vya mgema huliwa na mlevi. Tunakutana makandokandoni ndiyo maana unayajua
 
Kuna kitu nimejifunza hapa asante..
 
Vya mgema huliwa na mlevi. Tunakutana makandokandoni ndiyo maana unayajua
Bahati nzuri ni kuwa ukishalewa unasimuliaga mwenyewe. Kwahiyo haihitaji tuwe wote makandoni.
 
Umenikumbusha stori ya sekondari, jamaa kaja na staout ( pickup) ya majani ya ng'ombe akamfuata binti mkali class, akaomba amrudishe kwao sbb amekuja na ndinga. Binti akasema asante ntaenda tuu kwa miguu home cyo mbali.

Kesho yake binti kaja na land cruise VX, watuuu weweeee ''B'' umepigwa kibuti cha shingo. Kaka wa watu aliomba ruhusa kbs anaumwa siyo kwa kibuti kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…