Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
ha haaa, sasa sentimita 5 alibakiza ya nini? angekata yote
ha haaa, short call kwani inahitaji hata mm kadhaa best? tundu tu linatosha, lol!Short call best!
Ila watu wana ujasiri wa ajabu sana
ha haaa, short call kwani inahitaji hata mm kadhaa best? tundu tu linatosha, lol!
Ingekuwa kokoleo lake lina perfomance nzuri sidhani kama angelirengeta. Inawezekana lilikuwa kama urembo tu ndo maana akaamua kulikataa tu ili kuEpuka kufedheheshwa. Heri lawama kuliko fedheha
umeona eeehhh!Kwa matukio ya karibuni naanza kuamini kuwa wanawake tu wavumilivu sana,hivi wanavyotutenda tungekuwa tunatoa maamuzi ya ajabu kama yao sijui tungekuwa wapi kwa sasa!
Kweli mtenda akitendewa .................;.
sasa mbona kabakiza sentimita 5? angetoa lote, lol!Ingekuwa kokoleo lake lina perfomance nzuri sidhani kama angelirengeta. Inawezekana lilikuwa kama urembo tu ndo maana akaamua kulikataa tu ili kuEpuka kufedheheshwa. Heri lawama kuliko fedheha
Money Stunna, kwa nini unaweka picha ya sehem ambayo haijajeruhiwa.??
Bhangi noma.
sana sijui alivuta ya arusha au tarime