Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

Kijana wangu tuko pamoja, waambie hao wanyiha, wandali, wanyakyusa, wanyamwanga na wakazi wote wa Mbozi mashariki muda wa Zidumu fikra za mwenyekiti zimekwisha" Viva CDM
 
ni Fadhili yule niliyesoma nae Iyunga akahama tukiwa form 2, kama ni yeye big up sana kwani alifka shule na kuchaguliwa kiongoz wa afya, kweli uongozi ni karama.
 
Habari wana jf,

kama mnakumbuka kuna thread niliposit tar.29/4/2012 juu ya ziara ya Fadhili s.mwaya kuimarisha chama na kufungua matawi ktk vijiji 7 vya kata ya ihanda ,iliyo anza rasmi tar.30/4/2012 kwa kuanza na kijij cha sumbaluwela amefungua matawi 3 na kuvuna wanachama wapya 60, yaani tawi la ng'amba,maji moto na sawea.

Kijiji cha sakamwela amefungua matawi 3 na kupata wanachama wapya 103 wa kurudisha kadi hadhani 15 na kwa siri 5 ambapo kadi zimetosha watu 40 tu kwa matawi yote,hii ndo changamoto ambayo imekwamisha kupata wanachama wengi wa kurudisha kadi ccm kwani watu wa kujiunga ni wengi lakini kadi za kuwakabidhi hamna ,angalau bendera zilikuwa 20 ambazo anasema zitatosha matawi 8 tu na anategemea kufungua matawi 24 ktk kata hiyo.

Katika anaendelea kesho kijiji kingine na kusimamia uchaguzi kila kijiji na ameomba kwa watanzania wapenda maendeleo kumsaidia kadi idadi yoyote uliyo nayo kwa mawasiliano 0757281736/0655281736 habari ya kufurahisha tar.3/5/2012 mgombea wa uenyekit ccm atarudisha kadi kuanika uozo wa ccm jina na kijijini kwa usalama. Mpambanaji huyo amefuhishwa na urudishwaji kadi za mwaka 1987 wakati ana umri wa miaka mitano leo ndo ameenda kumbadilisha na kumkabidhi kadi yake na ndiye amekuwa na nyazifa nyingi ndani ya ccm leo ameachana na chama hicho.

Nb;naomba thread hii iendelee kuunganishwa na ile ya kwanza maana ni zoezi la wki zima ndo 2tapumnzika.

Asanteni kwa kuchangia pamoja na maombi yenu
 
Hongera sana kaka,,tuko pamoja kma hadi wanyia wameelewa somo basi CCm ndo ivyo tena kwishney...
 
Kaka tunawaombea wenzetu huko mliko lakin kuweni makin jamani na usalama mana CCM hawana mazuri nasi,Mungu awalinde,msichoke kuwakomboa watu kifikra.
 
Mungu amzidishie sana huyo kamamda, watu wa vijijini ndio tegemeo kwa sasa, achana na majinga yaliyojazana bure tu hapa Dar, hayana tija kwa ukombozi wa nchi hii. Source Mashabiki wa Makongoro
 
Ni wakati mwafaka sana kwa CDM makao makuu kutambua kuwa chama kinakua kuliko hata pengine walivotarajia. Watu wa logistics wajipange sana kuhakikisha kuwa vifaa muhimu vinapatikana huko mikoani.
Central cordination inatakiwa sana.
 
Watu wanapenda CDM kwa sasa na si mtu! Kinamvuto sana. Kama kungekuwepo uwezekano wa kuziuza kadi ka vocho basi cdm kingechukua wanachama wote nchini na kupatra matawi mapya.

Hii ndo faida ya kuwa na mbunge kwenye jimbo!!!
 
poa sana kamanda naona unatwanga kotekote karibu sana na huku kwetu tarime.
 
Kijana huyo ataanza kazi rasmi kesho tar.30-4 ataendesha operation cku 5 mfululizo ktk vijij 7 vya kata ya ihanda .Kihistoria uchaguzi wa octoba 2010 ni kati ya wapambanaji waliokuwa mstar wa mbele kusaidiana na Silinde kuisambaratisha ccm.kijana huyo machachar ameamua akawabadilishe kutoka ccm kwend cdm kwani huko ndio amezaliwa kuanzia kesho 2taendelea kuwapa updates za mwanasheria huyo kitaaluma. Nawasilisha msf

mzee akimkabizi kadi ya ccm.JPG mzee haamini kupatakadi ya cdm tawi jipya sakamwela.JPG tawi jipya sakamwela uchaguzi.JPG uchaguzi tawi la sakamwela viongozi.JPG kamanda fadhili akabizi viongozi tawi jipya katiba na kadi wote wamehama ccm 2-5-2012 samahani kuna makosa ya kiufundi up2date ipo chini maji ya moto8.JPG tawi la ng'amba {majii ya moto
]wanachama wapya 30-
5-2012 maji ya moto14.JPG hawatitaki tena ccm ng'mba [majiiyamoto] 30-5-2012

 
Asante sana kwani mtela alizani bila yeye hakuna kitakachofanyika,isalalo na msiha kazi imebakia ndogo tu wakuu!!!
 
Natamani kama ningekuwepo pamoja na nyie na nyie ili tuhakikishe Mbozi na Mbeya yote inakaa kwenye mikono salama ya kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom