Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msf, Apr 29, 2012.

 1. M

  Msf Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana huyo ataanza kazi rasmi kesho tar.30-4 ataendesha operation cku 5 mfululizo ktk vijij 7 vya kata ya ihanda .Kihistoria uchaguzi wa octoba 2010 ni kati ya wapambanaji waliokuwa mstar wa mbele kusaidiana na Silinde kuisambaratisha ccm.kijana huyo machachar ameamua akawabadilishe kutoka ccm kwend cdm kwani huko ndio amezaliwa kuanzia kesho 2taendelea kuwapa updates za mwanasheria huyo kitaaluma. Nawasilisha msf
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hoja nzuri sana, lakini mbona unaficha sana?? Kama ni jembe la ukweli linafanya M4C, kuna shida gani ukilitaja kwa jina????
   
 3. M

  Msf Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu bila shaka uko sahih, Anaitwa Fadhili Mwaya ,kamanda huyo hajawahi kujificha
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa stail hii,hadi 2014,yatosha cdm wachukue tu ikulu,yaishe
   
 5. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ubunge Mbozi mashariki Cdm mwaka 2015 kazi ipo!
   
 6. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  safi sana pia hongera sana kamanda, natmai jitihada zako zitazaa matunda na kuwavuna wa kutosha toka ccm na kuwakomboa kwa kuwapeleka cdm,
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Good Job,nakupa like hapa
   
 8. M

  Msf Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu pamoja sana
   
 9. m

  moshial Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poma kamanda
   
 10. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila la kheri mkuu
   
 11. by default

  by default JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Viva cdm
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mungu azidi kuwatia nguvu.
  2015 lazima tuwatoe wale maruhani wa magogoni.
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mumpatie ulinzi wa kutosha CCM wameanza na sera za kukata shingo wanaowapinga. Ninashauri vijana na viongozi wa CDM kuchukua tahadhari kwenye nyendo zao. It seems they are targeted for provacations ili wa-react na polisi kupata sababu za kuzuia maandamano yao.
   
 14. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mulinzi wa chadema na viongozi pamoja na wanachama, wapenzi ni MUNGU cdm hakina jeshi ccm ndo wenyejeshi ushauli tuzidishe maombi
   
 15. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi jimbo hilo saizi linashikiliwa na nani?
   
 16. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sifa na pongezi nihaki yako kupewa vijana wengi wanajichimbia mijini hawakumbuki babu zao huko vijini uongozi cdm huyokijana apewe msaada unaotakiwa
   
 17. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zambi ccm
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana makamanda wa huko mbozi, Mungu jehova awalinde na kuwaepusha na hawa wakatashingo za watu (ccm)
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Tena huyo Zambi anataka kuleta dhambi za ccm humo jimboni huyo ni wakumng'oa Mara moja
   
 20. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kwanza zambi mwenyewe hakutia sahihi ya kumkataa waziri mkuu kwa hiyo yale maneno ilikuwa mwendelezo wa unafiki wa ccm so 2015 KAZI ITAKUWA RAHISI MNO MAKAMANDA TUPO PAMOJA SANA SISI KWA HAPA ARUSHA MJINI 2015 HAWAKATIZI HATA KWA UCHAWI
   
Loading...