Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

Tuko nyuma yake! Na so long as anafanya jambo jema kwa watanzania mwenyezi mungu atamfungulia mambo yake
 
vizur kama kweli una moyo wa dhati kuwakomboa walima kahawa wa mbozi.Ushauri wangu onana na mwampamba(Ganzi) kwani aligombea 2010 na alitikisa sana mbozi mashar nina imani yy atakua anajua vizuri maeneo yepi ni magumu kwa mfano kata ya Itaka,nambinzo halungu,Isansa,Igamba na Iyula kata zote hizo zinaongozwa na CCM.Shirikianeni mchukue jimbo tafadhari.BIG UP BRO!!
 
Na jimbo la mbeya vijijini ni la cdm 2015,inaniuma sana jinsi wananchi walivyoporwa haki yao
 
ebu tumeni mpesa namba kwenye inbox angalau tumtumie kitu kidogo. tungependa sana tuwe naye , lakini jiografia hairuhusu
 
Wakuu, Silinde asisashau kuwa ZAmbi aliteka hoja ya wakulima kupitia Umoja wao katika kudai fidia iliyotengwa kwenye stimulas package, aliwaambia leteni hiyo hoja aifikishe kwa PM badala ya wao kupeleka wenyewe! Matokeo yake akaichinjia baharini.
 
Jamani kweli,hawa makamanda wa cdm tanatakiwa tuwaombee sana,maana hawa magamba,waliishaanzisha kundi la Mungiki,kwa ajili ya kuchinja wanyonge wanao onewa na chama cha magamba,na serikali yao.Ee Mungu,walinde wapiganaji wa CDM dhidi ya hao mungiki wa mgamba na maovu yao,Tunaomba Mungu uwapiganie sana na uasi huu!! Na damu hii wanayoimwaga pasipo sababu,iwe laana kwao pamoja na familia zao,ukajilipizie kisasi dhidi yao.katika jina la Yesu tunaomba, amina..
 
Back
Top Bottom