Kijana aliyeambukizwa UKIMWI mahabusu

Kijana aliyeambukizwa UKIMWI mahabusu

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,745
Ni kijana aliyetokea kwenye familia yenye uwezo kiasi, wazazi wake walijitahidi kuhakikisha mwanao anapata elimu iliyobora wakaamua kumpeleka South Africa Johannesburg mtoto alisoma huko kuanzia primary mpaka Sec School.

Akiwa form 2 kuna maandamano na vurugu yalitokea shuleni kwao yakihusisha wanafunzi wote wakipinga maswala ya chakula kuwa si kizuri.Maandamano yale yalipelekea polisi kufika shuleni pale na kuwakamata baadhi ya wanafunzi akiwa ni pamoja na huyo kijana waki Tz.

Walipofikishwa pale polisi wanafunzi wengine wazazi wao walifika pale na kuwatoa watoto wao kwa dhamana maana wengi wao walikuwa ni wazawa wa huko akabaki yule wa kitanzania.

Ilipofika usiku mtoto yule akiwa amechanganywa na wahalifu wengine.Mhalifu mmoja akamwita ili alale nae na akawa kama anamsaidia maana wahalifu wengi walikuwa wakimsakama sakama kijana yule.

Kijana yule akaamini muhalifu yule aliemwita ndiyo atakae msaidia akienda akawa amelala karibu yake.Ilipofika usiku wa manane muhalifu yule akaanza kumvua yule kijana suruali kijana akapambana nae huku akipiga kelele bila msaada wowote akavuliwa suruali na yule mhalifu akamwingilia kinyume na maumbile.Kesho yake akaenda kushtaki kwa askari lakini hata hakusikilizwa.

Ikawa mchana ikawa usiku tena yule mhalifu akamwingilia tena.Mhalifu yule ndiye alikuwa kama kiongozi kwenye chumba kile waliopo kwahiyo akawa anajifanya kumsaidia yule kijana kupata chakula kizuri na kwa wakati.

Basi kijana alikaa wiki pale na kila usiku akawa anaingiliwa hivyo hivyo bila msaada wowote.Baada ya week mama yake akawa ameshafika akitokea Tz akaruhusiwa kumdhamini mtoto wake.

Ila akaona afya ya mtoto imedhoofu sana mama yule alilia kwa uchungu mno akamchukua mwanae na kurudi nae Tz kijana yule alizidi kudhoofu afya sana.Mama akakaa na mtoto wake akamuuliza kwanini mbona huna raha una mawazo mno.Mtoto ndiyo akamwadithia mama ake kisa kilichomkuta akiwa mahabusu kule South Africa.

Mama alilia mno akamwambia baba mzazi wa mtoto baba aliumia mno.Wakampeleka hospital wakakuta ni kweli mtoto aliingiliwa na akakutwa yuko na ugonjwa wa fungus akatibiwa na akapima UKIMWI akakutwa hana.

Ila ilipofika miezi kama 4 hivi akaenda kupima tena akakutwa aliambukizwa HIV na mpaka sasa anaendelea kutumia dawa hizo, ila kijana ni mtu wa kulia tu hana raha kabisa.
 
Ni kijana alietokea kanda ya kaskazini kwenye familia yenye uwezo kiasi, Wazazi wake walijitahidi kuhakikisha mwanao anapata elimu iliyo bora wakaamua kumpeleka South Africa Johannesburg mtoto alisoma huko kuanzia primary mpaka Sec School..Akiwa form 2 kuna maandamano na vurugu yalitokea shuleni kwao yakihusisha wanafunzi wote wakipinga maswala ya chakula kuwa si kizuri...Maandamano yale yalipelekea polisi kufika shuleni pale na kuwakamata baadhi ya wanafunz akiwa ni pamoja na huyo kijana wakitz..Walipofikishwa pale polisi wanafunzi wengine wazazi wao walifika pale na kuwatoa watoto wao kwa dhamana maana wengi wao walikuwa ni wazawa wa huko..akabaki yule wa kitanzania..Ilipofika usiku mtoto yule akiwa amechanganywa na wahalifu wengine..Mhalifu mmoja akamwita ili alale nae na akawa kama anamsaidia maana wahalifu wengi walikuwa wakimsakama sakama kijana yule...Kijana yule akaamini muhalifu yule aliemwita ndiyo atakae msaidia akienda akawa amelala karibu yake...Ilipofika usiku wa manane muhalifu yule akaanza kumvua yule kijana suruali kijana akapambana nae huku akipiga kelele bila msaada wowote akavuliwa suruali na yule mhalifu akamwingilia kinyume na maumbile...Kesho yake akaenda kushtaki kwa askari lakin hata hakusikilizwa...Ikawa mchana ikawa usiku tena yule mhalifu akamwingilia tena..Mhalifu yule ndiye alikuwa kama kiongozi kwenye chumba kile waliopo kwa hiyo akawa anajifanya kumsaidia yule kijana kupata chakula kizuri na kwa wakati....Basi kijana alikaa wiki pale na kila usiku akawa anaingiliwa hvyo hvyo bila msaada wowote..Baada ya week Mama ake akawa ameshafika akitokea TZ akaruhusiwa kumdhamini mtoto wake..Ila akaona afya ya mtoto imedhoofu sana mama yule alilia kwa uchungu mno..akamchukua mwanae na kurudi nae TZ kijana yule alizidi kudhoofu afya sana..Mama akakaa na mtoto wake akamuuliza kwa nini mbona huna raha una mawazo mno..Mtoto ndiyo akamwadithia mama ake kisa kilichomkuta akiwa mahabusu kule South Africa..Mama alilia mno akamwambia baba mzazi wa mtoto baba aliumia mno..Wakampeleka hospital wakakuta ni kweli mtoto aliingiliwa na akakutwa yuko na ugonjwa wa fungus akatibiwa na akapima ukimwi akakutwa hana...Ila ilipofika miezi kama 4 hivi akaenda kupima tena akakutwa aliambukizwa HIV...Na mpka sasa anaendelea kutumia dawa hizo ila kijana ni mtu wa kulia tu hana raha kabisa...
counseling zitamsaidia sana... pole yake asee kwanza kuingiliwa nyuma kisha ukimwi uh
 
Inasikitisha sana....! Wazazi tuangalie malezi ya Vijana wetu....!
Sasa hapo wazazi waangalia malezi kivipi tena, yani ni kama balaa tu limeamua kutokea, walimpeleka kusoma kwa lengo jema, yaani hapa wakulaumiwa ni shule husika, hivi kweli mtoto unamuwekaje jela ya watu wazima??? Mama alipaswa kuishtaki shule husika sema ndio hivyo tena.
 
Hii tabia sijui kwann inachukuliwa kama ni kitu cha kawaida huko jela..
 
Kwa nini asiishitake shule kwani kule ubaloz haupo?maana dogo lazima anamfaham jamaa aliefanya hivyo,mshenz kabisa tena ikiwezakana hata atngaze kaisa kwenye maredio naamin wanahalakat watakuwepo tu wa kufatilia hilo jambo.
 
Hiyo ni intressant

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Sitasomesha mtoto wangu yeyote shule ya boarding, iwe hapa bongo au nje ya nchi
 
Mi nashauri hii tabia jela kama haki za binadam wa deal nayo na watuhumiwa wapewe adhabu kali...

Somesha mtoto boarding akisha komaa na ana akili za kuji defend mwenyewe otherwise NO.

Daah kdgo niangushe chozi. Nime assume kama ndio mwanangu vile and that when he needed me the most i wasn't there for him.

Daah im just OFF mood.
 
daah inasikitisha kinyama, lakn jamaa akomae kiume aache mawazo mana ukiwa mtoto wa kishua ukimwi sio ishu hata kdgo,
 
Mkuu hii story yako umetunga kwanza kukaa Polisi mwisho 24hrs umedanganya sawa kwa Mtoto jee huyo mwalifu alikuwepo hapo kwa week bila kwenda mahakani alafu kwenda jela

Mimi najua mfumo wa south Africa polis umekaa zaidi siku 2 kule sheria inafatwa

877610, member: 15299"]Ni kijana aliyetokea kwenye familia yenye uwezo kiasi, wazazi wake walijitahidi kuhakikisha mwanao anapata elimu iliyobora wakaamua kumpeleka South Africa Johannesburg mtoto alisoma huko kuanzia primary mpaka Sec School.

Akiwa form 2 kuna maandamano na vurugu yalitokea shuleni kwao yakihusisha wanafunzi wote wakipinga maswala ya chakula kuwa si kizuri.Maandamano yale yalipelekea polisi kufika shuleni pale na kuwakamata baadhi ya wanafunzi akiwa ni pamoja na huyo kijana waki Tz.

Walipofikishwa pale polisi wanafunzi wengine wazazi wao walifika pale na kuwatoa watoto wao kwa dhamana maana wengi wao walikuwa ni wazawa wa huko akabaki yule wa kitanzania.

Ilipofika usiku mtoto yule akiwa amechanganywa na wahalifu wengine.Mhalifu mmoja akamwita ili alale nae na akawa kama anamsaidia maana wahalifu wengi walikuwa wakimsakama sakama kijana yule.

Kijana yule akaamini muhalifu yule aliemwita ndiyo atakae msaidia akienda akawa amelala karibu yake.Ilipofika usiku wa manane muhalifu yule akaanza kumvua yule kijana suruali kijana akapambana nae huku akipiga kelele bila msaada wowote akavuliwa suruali na yule mhalifu akamwingilia kinyume na maumbile.Kesho yake akaenda kushtaki kwa askari lakini hata hakusikilizwa.

Ikawa mchana ikawa usiku tena yule mhalifu akamwingilia tena.Mhalifu yule ndiye alikuwa kama kiongozi kwenye chumba kile waliopo kwahiyo akawa anajifanya kumsaidia yule kijana kupata chakula kizuri na kwa wakati.

Basi kijana alikaa wiki pale na kila usiku akawa anaingiliwa hivyo hivyo bila msaada wowote.Baada ya week mama yake akawa ameshafika akitokea Tz akaruhusiwa kumdhamini mtoto wake.

Ila akaona afya ya mtoto imedhoofu sana mama yule alilia kwa uchungu mno akamchukua mwanae na kurudi nae Tz kijana yule alizidi kudhoofu afya sana.Mama akakaa na mtoto wake akamuuliza kwanini mbona huna raha una mawazo mno.Mtoto ndiyo akamwadithia mama ake kisa kilichomkuta akiwa mahabusu kule South Africa.

Mama alilia mno akamwambia baba mzazi wa mtoto baba aliumia mno.Wakampeleka hospital wakakuta ni kweli mtoto aliingiliwa na akakutwa yuko na ugonjwa wa fungus akatibiwa na akapima UKIMWI akakutwa hana.

Ila ilipofika miezi kama 4 hivi akaenda kupima tena akakutwa aliambukizwa HIV na mpaka sasa anaendelea kutumia dawa hizo, ila kijana ni mtu wa kulia tu hana raha kabisa.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom