Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Kweli kuna waandishi na wahandisi wa habari. Kwanza mbuzi habakwi na binadamu bali hunajisiwa. Kweli mbuzi kaathirika kisaikolojia? Kwa hiyo anao utambuzi kwamba alibakwa? Ovyo kabisa Wapo!
Basi tuseme mbuzi alipata maumivu makali sehemu zake za siri.