CHIKITITA
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 445
- 158
Katika hali isiyoya kawaida, kijana Rashid Manyanda, miaka 21 mkazi wa kata ya Kalangalala wilaya ya Geita, jana jioni majira ya saa 1 alikutwa akimbaka mbuzi.
Kwa mujibu wa taarifa kijana Rashid alikamatwa kutokana na mtego aliowekewa na mwenye mbuzi bwana Geofrey, kwa mujibu wa mashuhuda bwana Rashid alimfuata mbuzi alikofungwa na kuvua nguo zote kisha akaanza kumuingilia mbuzi huyo na hapo ndipo bwana GEOFREY ambaye ndio mwenye mbuzi alifika akiwa na watu wengine na kumkamata Rashid.
Hata hivyo jitihada za kumfikisha Rashid polisi ziligonga mwamba kutokana na mama mzazi wa Rashid kuomuombea msamaha mwanae na kumsihi mwenyembuzi amlipe yaishe.
Hata hivyo sakata hilo liligonga hodi serikali za mtaa ambapo mwenye mbuzi aliomba anunuliwe mbuzi mwingine kwani hawezi kukaa na mbuzi alieathiriwa kisaikolojia
source: Wapo radio