Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

Utafiti uliofanya unaonesha life expectancy ya Mtanzania, kwa wastani, ni miaka mingapi?

Kwanini unalalamikia masharti ya mifuko ya pension badala ya kulitaka Bunge libadili Sheria husika ili kushusha umri wa kustaafu kama unaamini 55 is too high? Waambie basi waishushe miaka ya kustaafu (wazee wapishe, vijana wapate ajira).

Una uelewa kiasi gani wa jinsi mifuko ya pension inavyofanya kazi? Kama hujui mifuko ya pension ni kama michezo ya upatu (pyramid schemes) iliyohalalishwa. Sustainability yake inategemea ukubwa wa base (kundi la active lives) yake. Kama mfuko una base (kundi la active lives) finyu kuliko kundi la wastaafu (retired lives), huo mfuko sio sustainable; lazima ufe!
Acha kutetea upuuzi we kiazi , we hujui unachoongea watu wanastaafu na miaka 60 na bado hawalipwi pensión zao ,

Serikali ya Tanzania ni ya kipumbavu na kitapeli .
 
Ubora wa ubongo wa mtu unaakisiwa na ubora wa kauli zimtokazo kinywani mwake. Ubongo hafifu hautarajiwi kuwa chanzo cha kauli zenye staha na hekima. Zao kuu la ubongo hafifu ni jazba na matusi!

Sio kosa lako; hiki ndiyo kipaji chako!
 
Attachments

  • Screenshot_20190514-215129.png
    Screenshot_20190514-215129.png
    108.6 KB · Views: 15
Huyo kajirusha kutokana na mambo ya kishirikina. Kwa taarifa yako, siku hizi teknolojia ya uchawi imeboreka kiasi kwamba zile mbinu za zamani. Siku hizi unajiua mwenyewe tu.

Kwa huyo kijana ukiangalia kwa makini, hana jeraha wala hakuna damu.
Mkuu hebu rudia kusoma ulichoandika, yawezekana umekosea
 
Maiti itapelekwa Bugando. Wataifanyia post-mortem kujua chanzo cha kifo. Lakini kwa mtazamo wa juujuu, siyo rahisi kuamini marehemu alijirusha kutoka ghorafani kwenye hiyo hoteli halafu hakuna hata tone la damu alipoangukia kwenye sementi ngumu, achilia mbali hakupasuka kichwa au hata mfupa mwilini.. Isitoshe, Meneja wa hiyo hoteli amekana marehemu kuwa mteja hapo hotelini.
 
Attachments

  • Screenshot_20190514-215129.png
    Screenshot_20190514-215129.png
    108.6 KB · Views: 17
Utafiti uliofanya unaonesha life expectancy ya Mtanzania, kwa wastani, ni miaka mingapi?

Kwanini unalalamikia masharti ya mifuko ya pension badala ya kulitaka Bunge libadili Sheria husika ili kushusha umri wa kustaafu kama unaamini 55 is too high? Waambie basi waishushe miaka ya kustaafu (wazee wapishe, vijana wapate ajira).

Una uelewa kiasi gani wa jinsi mifuko ya pension inavyofanya kazi? Kama hujui mifuko ya pension ni kama michezo ya upatu (pyramid schemes) iliyohalalishwa. Sustainability yake inategemea ukubwa wa base (kundi la active lives) yake. Kama mfuko una base (kundi la active lives) finyu kuliko kundi la wastaafu (retired lives), huo mfuko sio sustainable; lazima ufe!

Wanaong’ang’a walipwe mafao ya kustaafu kabla ya umri hawana tofauti sana na wenzetu wanaong’ang’ana kuendelea kuishi maeneo hatarishi kama vile Jangwani. Ajabu ni kwamba kila wanapopigwa na gharika kwenye hayo maeneo waliyogoma kuhama, wao haohao wanaililia Serikali iwasaitie. Kutokuwa na mafao ya pension baada ya kustaafu kutasababisha vilio kama hivyo vya wenzetu wa Jangwani na maeneo mengine hatarishi.

Ni hulka yetu binadamu kutokutaka kwenda ila kwa mjeledi. Ndiyo maana makato yenyewe ya pension sio hiari yetu. Tungepewa hiari, watu kibao wasingekuwa hata na hayo mafao ambayo wanalilia wayakombe kabla ya umri!
Umeeleza mambo mengi ambayo msingi wa swali langu uko palepale! Sihitaji kwanza kujua mifuko inafanyaje kazi! Kwanza nakubaliana na dhana/nadharia ya pensheni! Lakini pensheni inayomnufaisha mtu lini ndio issue hapa! Pension ni linient sio fixed ndg ndio maana unakuta kuna mikopo kabla ya kulipwa pension, kuna sijui fao la kukosa ajira, kuna withdrawal of contributions hizi zote zipo kabla ya siasa kuingia kwenye mifuko nk its illusion to predict life of a Tanzanian after 55! Naomba nikuulize swali Mona tu ukinijibu hili nitakubaliana na wewe!

Swali: kijana wa miaka 30 ameacha kazi baada ya kufanya kazi miaka 6 serikalini na ameamua kujikita ktk personal business maisha yake yote na kujiondoa kwenye uchangiaji ktk mifuko ya hifadhi za jamii. Wakati akiacha kazi alikuwa amechangia tsh milioni kumi. Je pensheni itakayokokotolewa atakapofika miaka 55 itamsaidia kupunguza stress za maisha au hata kutatua mambo yake ya msingi????

Mwisho ningependa kukurudisha nyuma kutafakari msingi wa mabadiliko haya! Ni muhimu kujua kwanini mabadiliko haya yalifanyika! Hapa ningetaka kujua motive sio sababu tuu za mabadiliko ya kikokotoo.
 
Nadhani unachanganya mambo, kwa sababu retirement plans unazozilalamikia nazo kuna wakati zilichanganya mambo.

Duniani zipo aina kadhaa za retirement plans/pension schemes. Sitaenda kwa undani sana, lakini itoshe tu kusema kwamba miongoni mwa hizo plans zipo plans ambazo ushiriki wake ni wa hiari na zipo ambazo ushiriki wake sio wa hiari. Retirement plans za serikali ni mfano wa retirement plans zisizo za hiari na retirement plans za waajiri binafsi ni mfano wa zile za hiari.

Kwa sababu ya ushiriki wa hiari, retirement plans za hiari zina flexibility kubwa. Kwa kawaida unaweza kukopa kutoka kwenye account yako. Unaweza hata kuomba early distribution ingawa kuna penalties za kufanya hivyo (with some exceptions). Nadhani hizi ndizo aina ya retirement plans unazozungumzia.

Retirement plans zisizo za hiari (za serikali) hazina flexibility unayoizungumzia. Ushiriki wake ni wa lazima, uwe umejiajiri au umeajiriwa na mwingine. NSF na PSSSF sio mifuko ya hiari na (kwa kawaida) haipaswi kuwa na hiyo flexibility.

Mwisho, napenda ieleweke kuwa sipo hapa kuwatetea NSF na PSSSF pale ambapo wameshindwa kulipa mafao kwa participants wao kwa mujibu wa sheria. Hilo litakuwa tatizo lao; hawana mtu yeyote wa kumlaumu isipokuwa wao wenyewe!
 
Kijana mmoja amejirusha kutoka ghorofani na kufariki dunia papo hapo baada ya kufuatilia mafao yake katika ofisi ya PSPF JIJINI MWANZA.

Ambapo alipewa mlolongo mrefu wa fedha yake na kuambiwa sheria ya Sasa ya mafao inamtaka MPAKA AFIKISHE MIAKA 55 ndipo aende akachukue pesa yake Hali iliyopelekea kuamua kujirusha kutoka ghorofan katika jengo la ofisi hizo.

============================

Wakazi wa jiji la Mwanza wamekumbwa na sintofahamu baada ya kijana mmoja asiyefahamika kusadikiwa kujirusha kwenye jengo la ghorofa ya tatu katika hoteli ya Gold Crest iliyopo jijini humo.

Taarifa za awali za kifo cha kijana huyo zinaeleza kuwa baada ya kudondoka kutoka ghorofani, alipoteza maisha papo hapo.

Wakizungumza mapema asubuhi, wakazi wa mji wa Mwanza wameonyesha kusikitishwa na kifo cha kijana huyo anayesadikiwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 ambae chanzo cha kifo chake hakijafahamika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro amelizungumzia tukio la kifo cha kijana huyo akisema kuwa taarifa za awali walizozipata kuhusu tukio hilo hazikuwa za kweli kwa kuwa eneo ambalo inadhaniwa amejirusha na eneo ambalo umekutwa mwili wake ni tofauti.

"Haiingii akilini kuwa umbali ule ambao inadhaniwa mtu amejirusha na eneo la barabara ambalo amekutwa, haiwezekani pia mtu amejirusha akafika chini akawa mgongo wake mzima, kichwa kizima na hakuna hata tone la damu, kwahiyo kwa taarifa za awali, mimi nakanusha kuwa mtu huyu hajajirusha".

Malunde blog

Sipati picha angejirusha nchi ya UARABUNI, utasikia waarabu wamemrusha 😂😂😂 wamatumbi nomaa 😂😂
 
Kwahiyo kapewa sumu? Tupate ripoti ya daktari maana hawa wanasiasa waliovaa kofia za polisi hawachelewi kupindisha habari!
 
Ccm oyee
Jengo lina kamera halafu policcm wanakanusha utadhani wao mafao yao wanapokea mbinguni
 
Nadhani unachanganya mambo, kwa sababu retirement plans unazozilalamikia nazo kuna wakati zilichanganya mambo.

Duniani zipo aina kadhaa za retirement plans/pension schemes. Sitaenda kwa undani sana, lakini itoshe tu kusema kwamba miongoni mwa hizo plans zipo plans ambazo ushiriki wake ni wa hiari na zipo ambazo ushiriki wake sio wa hiari. Retirement plans za serikali ni mfano wa retirement plans zisizo za hiari na retirement plans za waajiri binafsi ni mfano wa zile za hiari.

Kwa sababu ya ushiriki wa hiari, retirement plans za hiari zina flexibility kubwa. Kwa kawaida unaweza kukopa kutoka kwenye account yako. Unaweza hata kuomba early distribution ingawa kuna penalties za kufanya hivyo (with some exceptions). Nadhani hizi ndizo aina ya retirement plans unazozungumzia.

Retirement plans zisizo za hiari (za serikali) hazina flexibility unayoizungumzia. Ushiriki wake ni wa lazima, uwe umejiajiri au umeajiriwa na mwingine. NSF na PSSSF sio mifuko ya hiari na (kwa kawaida) haipaswi kuwa na hiyo flexibility.

Mwisho, napenda ieleweke kuwa sipo hapa kuwatetea NSF na PSSSF pale ambapo wameshindwa kulipa mafao kwa participants wao kwa mujibu wa sheria. Hilo litakuwa tatizo lao; hawana mtu yeyote wa kumlaumu isipokuwa wao wenyewe!
Umesomeka!!!
 
Back
Top Bottom