Kuuliza ni ubishi? Kuna kitu umesema nikabisha?Mkuu uko kuanzisha ubishi, uwe na siku njema
Lakini huu ni ubaladhuri kabisa, pesa ya kwako, afu wanakupangia mda wa kwenda kuchukua, kana kwamba wameongea na Mungu kuwa utafika miaka 55. Mbona wao hawasubiri hiyo miaka au ndo wanawapangia wanyonge matumizi.NSSF na hao PSPF pamoja na serikali ya CCM chini ya Magufuli ni matapeli,wadhulumati na wezi wa fedha za wavuja jasho ,haiwezekani nisubiri miaka 55 wakati maisha yenyewe mafupi haya
Nahoji tu kwasababu nimezoea mtu akijirusha ghorofani anachakaaUnataka ukosoe
Wafe wote na vizazi vyao.Wakandamizaji wakubwa hawaHalafu unakuta kuna puuzi moja linakuja kujifanya tetezi la wanyonge, kutoa kauli za kujifanya liko upande wa wanyonge kumbe nyuma ya pazia yeye ndo baradhuli kuu. Ewe Mungu pitisha shani yako juu ya hawa wanafiki wanaoendekeza dhulma, waangamize kama wanavyowaaangamiza wasiokuwa na hatia.
Yaa uko sahihi mkuu... sijui jamaa wamepatwa na nn huko naona wanafatana tuRock City Mall, alikuwa bachelor holder na msongo wa mawazo wa kutopata ajira
Mmmh!Sijui niseme ni hasira,Msongo wa mawazo au kuchoka kuishi anyway may his soul rest in peace!
Huyo kajirusha kutokana na mambo ya kishirikina. Kwa taarifa yako, siku hizi teknolojia ya uchawi imeboreka kiasi kwamba zile mbinu za zamani. Siku hizi unajiua mwenyewe tu.Kijana mmoja amejirusha kutoka ghorofani na kufariki dunia papo hapo baada ya kufuatilia mafao yake katika ofisi ya PSPF JIJINI MWANZA.
Ambapo alipewa mlolongo mrefu wa fedha yake na kuambiwa sheria ya Sasa ya mafao inamtaka MPAKA AFIKISHE MIAKA 55 ndipo aende akachukue pesa yake Hali iliyopelekea kuamua kujirusha kutoka ghorofan katika jengo la ofisi hizo.
R I.P BROView attachment 1096159