Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,023
Natumai mko salama wanajamiiforum wote kwa ujumla.
Kipindi cha nyuma kidogo kuna kijana mwenzangu alikuwa rafiki yangu sana.
Pia nilipenda kuongea nae kuhusu maisha kwa ujumla na kumuomba ushauri wa maswala mbalimbali yaliyokuwa yakinisumbua sabb ni kijana mdogo sana kiumri ila ana mafanikio makubwa sana.
Siku moja nikiwa naongea nae kuhusu mpenzi wangu kuniacha na jinsi ninavyosumbuka kupata totoz wakali wakati yeye mpaka wanamgombania totoz wakali ndipo aliponiambia kauli ambayo mwanzo sikuiamini sana ila leo hii ndo naiamini.
Nanukuu: (Dogo tafuta pesa kwanza wanawake watakuja wenyewe)
Japo sina pesa ila kitendo cha kuwa na uhakika wa maisha kimenifanya nijiamini sana kwa hawa viumbe.
Na nikwambie kitu kijana mwenzangu unayesoma uzi huu ukiwa na uhakika wa maisha hawa viumbe hawatakutesa tena, sabb utakuwa na uwezo wa kumpata umtakaye hata kama ana mtu utakuwa na uwezo wa kufanya mapinduzi na yatafanikiwa kwa %.
Mapenzi ya sasa ni kizungumkuti sana.
Atakwambia anakupenda mkiwa ndani ya bajaji kesho akipewa lifti na mwenye Prado huna chako tena hapo my friend.
Ukitaka mafanikio fuata haya.
Acha kuhonga hovyo, kuwa bahili ila usiwe mchoyo na fanya kazi kwa bidii.