Wow, i like this analysis... ndio raha ya JF; lakini kimoja tuelewe siri zozote za adui yako zikiwa hadharani basi wewe zishangilie hata kama yeye alikua anatafuta sifaHuyu kijana ni political strategist kwa kushirikiana na kundi fulani. Barua yake ililenga kushawishi wabunge kumchagua katika kamati ya Nishati na Madini. It was a planned and well calculated move kuweka mtu wao katika sector hiyo nyeti. Nadhani mnakumbuka Idelogical Weapons za Masifadi (New Habari Corporation) zilivyopaisha barua hiyo siku chache zilizopita. January hawezi kuwa na utaofauti na Babayake, Lowassa, RA na JK. Subiri mda si mrefu mtaona.
Kumbuka katika bunge lililopita Wizara Ya Nishati na Madini ikiongozwa na W. Sherukindo ilikuwa mwiba sana kwa serikali hasa katika hoja ya Richmond.
Wana JF tuisome barua ya Mh. Januari Makamba kuhusu tatizo la umeme nchini. Naona anataka kufunua uozo katika shirika la umeme na serikali.Samahani kama imeshapita humu jamvini. Naona hii ni dalili ya mwanzo mzuri kwa Kijana Januari pamoja na kwamba sasa hivi amekuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.View attachment 22669
Hakuna kejeli ni pongezi kubwa kwa mheshimiwa mbunge wa kushindwa kukaa kimya simply because he is CCMPongezi ni jambo jema lakini kejeli ni uhuni ndg.
Mdogo wangu January Makamba
Nimesoma barua yako ya tarehe 3 februayr uliyomuandikia kilaza Ngeleja... Kama hata baada ya kuisoma barus hiyo bado JK atamuacha NGeleja wizara ile, then nitaamini kuna nguvu kali kuliko za shetani na malaika combined zilizoizunguka serikali yetu; na tungezitumia hizo kuleta maendeleo basi tungekua zaidi ya wachina
Sometimes we change faces for the sake of it; and for this i think William Ngeleja needs just kick to remind people that one can make deicisions
Wana JF tuisome barua ya Mh. Januari Makamba kuhusu tatizo la umeme nchini. Naona anataka kufunua uozo katika shirika la umeme na serikali.Samahani kama imeshapita humu jamvini. Naona hii ni dalili ya mwanzo mzuri kwa Kijana Januari pamoja na kwamba sasa hivi amekuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.View attachment 22669
Huyo january na ukoo wake wote wa CCM ni craps.hiyo barua mie sijaisoma lakini wanavyonichefua mpaka naona shida kuwasoma
Mnyonge munyonge lakini haki yake umpe; na hivyo kwa hili la barua ya January Makamba, Mbunge huyo kijana anastahiri sifa. Haijawahi kutokea kwa mbunge wa CCM kuibua visa vinavyoonyesha moja kwa moja hujuma zinazofanywa na serikali yenyewe kwa nchi inayoiongoza. Chukua huu mfano wa mtambo wa kufua umeme kwa kutumia mafuta mazito, unaosemekana kununuliwa hivi majuzi na kupelekwa Mwanza; kama hii siyo hujuma ni nini! Kama ule wa mwanzoni tulishindwa kuuendesha, na tukaishia kulipa shs.20 bilioni bila ya kupata huduma yeyote ni sababu hipi inayotufanya kurudia kosa hilo hilo.Huyo january na ukoo wake wote wa CCM ni craps.hiyo barua mie sijaisoma lakini wanavyonichefua mpaka naona shida kuwasoma
Read the letter first and comment!Sio kila siku mtu anakuwa na crap ideas.If the letter is legit,then he is 100% right!Hate him or love him,he is right on this one.