labda hayupo kama baba yake yeye kachukua akili ya mama yake but kama baba kanafiki tuu!
what makes it being crap?
Unataka mpaka cdm wakisema ndio manakubali?
Tunapingana kwa hoja sio chuki binafisi zisizoweza kujenga nchi yetu
anaitwa Mzee Ma-lopesimwamini kabisaaaa huyu jamaa,namuona kama yuko sawa tu na mzazi wake sijui anaitwa nani vile.
Crap!
Ina maana hiyo ndo gia ya kuingia nayo bungeni!
Crap!