Kiini cha tatizo la MAFUTA hiki hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiini cha tatizo la MAFUTA hiki hapa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KakaNanii, Aug 10, 2011.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wewe juzi kati tu hapo umewavua watu magamba tena kwa kasi mpya. Sasa na wale waliovuliwa magamba ni mafisadi papa tena kama yule wa kanda ya kati pale anamiliki vituo kibao vya mafuta , sasa anataka muitambue nguvu yake ya utajiri alionao.

  Hata hapa Kibaha hali si shwari, hakuna mafuta kabisa. Hii yote inasababishwa na mafisadi waliovuliwa magamba hivi karibuni !
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ahaaaaaaaa ndio nchi inaanza tikisika hivi ahahaaaaaa
   
 3. E

  Eddysite Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanaidi naona unagusa gusa maeneo!!!!!!!
   
 4. n

  naivasha Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ebu fafanua vizuri na achana na longolongo. Watz wengi wako gizani. Hawajui chanzo nini hasa kwenye hili tatizo la mafuta na hata mgawo wa umeme. Je, ni kweli hawa jamaa wanapata hasara? Au danganya toto ili waendelee kumsyphone Mtz hadi damu? lkn nimesoma hapa kuwa Hata Mkuu wa Kaya naye ana vituo vyake. Hapo vp?
   
Loading...