Kiini cha mahusiano ya CIA na Vatican

Fatilia historia ya yule papa alopotea nakukutwa amekufa baada ya siku tatu.

Nani alimuua wakati Papa ndio MTU anayeongoza kwa ulinzi duniani akifuatiwa na US president???
 
Fatilia habar za kuuwawa kwa Rais Wa marekan J.F.Kennedy ....

Utagundua msimamo wake alouweka wazi kuhusu Upapa na Catholic ndio ulimuondoa !!!.

Namnukuu ** ninaamini ktk marekani ambayo HATA PAPA HANA USEMI NDANI YAKE **

unganisha matukio yalofuatia mpaka kuuwawa kwauyu mkuu !!!.
 
NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.
REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K
RUSSIA
According to the most recent figures in Annuario Pontificio , there are approximately 773,000 Catholics in Russia, which is 0.5% of the total Russian population.
However, a 2012 survey has determined that there are approximately 140,000 Catholics in Russia (0.1% of the total Russian population), accounting for 7.2% of Germans, 1.8% of Armenians, 1.3% of Belarusians, and just under 1% of Bashkirs. The survey also found Catholics to be slightly more observant than Orthodox, with 25% praying every day versus 17% of Orthodox.
kanisa kubwa Russia ni ORTHODOX (lilijitenga na Roman Catholic).

CHINA
Catholic Church in China (called Tiānzhǔ Jiào , 天主教, literally, "Religion of the Lord of Heaven", after the term for God traditionally used in Chinese by Catholics) has a long and complicated history. Christianity has existed in
China in various forms since at least the Tang Dynasty in the 8th century AD. Following the 1949 takeover by the Communist Party of China , Catholic and Protestant missionaries were expelled from the country, and the religion was vilified as a manifestation of western imperialism . In 1957, the Chinese government established the Chinese Patriotic Catholic Association, which rejects the authority of the Holy See and appoints its own bishops.

CUBA
The Roman Catholic Church body in Cuba is governed by the Cuban Bishops Conference. There are over six million Catholics - around 60.5% of the total population. The country is divided into eleven dioceses including three archdioceses .
The Catholic Church in Cuba has taken on a more politically active role than in many other countries. It claims to have engaged in discussion with the government on issues such as political prisoners and free market reforms.
Catholics in Cuba have greater religious freedom than those in other Communist countries such as China and Vietnam .

IRAN
The Catholic Church in Iran is part of the worldwide Catholic Church , under the spiritual leadership of the Pope in Rome. There are about 21,380 Catholics in Iran out of a total population of about 78.9 million. They follow the Chaldean , Armenian and Latin Rites. Aside from some Iranian citizens , Roman Catholics include foreigners in Iran like Spanish-speaking people ( Latin Americans and Spanish ), and other Europeans.
In October 2010, an Iranian official delivered a letter from President Ahmadinejad to Pope Benedict XVI in which the President said he hoped to work closely with the Holy See to help stem religious intolerance, the breakup of families and the increase of secularism and materialism. A return letter from Pope Benedict was hand-delivered by Jean-Louis Cardinal Tauran , President of the Pontifical Council for Interreligious Dialogue, according to Passionist Father Reverend Ciro Benedettini , Vice-Director of the Vatican Press Office in a statement issued November 10, 2010. The Papal letter's contents were not disclosed.
HUKO KOTE YAPO ACHA KULISHA MATANGO
 
Fatilia historia ya yule papa alopotea nakukutwa amekufa baada ya siku tatu.

Nani alimuua wakati Papa ndio MTU anayeongoza kwa ulinzi duniani akifuatiwa na US president???

Mmmmaaaa!!! Mkuu hata Papa john Paul alikua na misimamo tofauti na KANISA yule alikua anatoka Poland Ulaya Mashariki kwa wakomunist si alidungwa shaba ya tumbo akapona baadae akamsamaehe mhalifu wake basi kazi ipo
 
Baada ya vita ya kwanza ya dunia ya mwaka 1939 Marekani ilikua haijapata taasisi bora itakayo kusanya taarifa nzuri za kiuchumi na kisiasa katika kuijenga Marekani ndipo Rais wa Marekani miaka ya Franklin D. Roosevelt kwa kushauriana na shujaa wa vita kuu ya kwanza ya dunia Jenerali William "Wild Bill" Donnovan kuanzisha taasisi inayoitwa office of Co-ordination of Informations ( COI ), mwaka mmoja baadae yani tarehe 11/julai/1942 ikaboreshwa ziadi na kuitwa OSS yaani office strategy Services na jenerali William“Wild Bill” Donnovan kuwa Mkuu wa taasisi hiyo hadi ilipobadilishwa tena mwaka 1945 kuwa Strategy Service Unit (SSU), mwaka 1946 ikabdilishwa tena kuwa Central Intelligence Group (CIG) na mwaka 1947 kuitwa Central Intelligence Agency yaani CIA.

Siku moja ya mwezi wa Julai mwaka 1944 wakati vita kuu ya pili ya dunia inapamba moto katika bara la Ulaya, wakati huo aliekua Mkuu wa huduma za kimikakati ya nje ya Marekani OSS baadae kupitia maboresho mengi hadi kubadilishwa kuwa CIA Jenerali William “Wild Bill” Donovan alikutana na Papa Pius XII katika misa kubwa jijini Vatican, ndipo Papa Pius XII akamvalisha Jenerali Donovan zawadi ya msalaba mkubwa wa dhahabu ulioitwa " Grand Cross of the Order of Saint Sylvester" zawadi hii hutolewa kwa watu 100 tu duniani ambao wamelitendea kanisa katoliki mambo ya kupendeza,kulinda kanisa kwa hali na mali, msalaba huu ni zawadi ya juu kutoka ofisi ya Papa mtakatifu alipewa zawadi hiyo kwa kua amelilinda kanisa katoliki dhidi ya hujuma za kinazi na kikommunist yaani alizuia kanisa katoliki kutodondokea mikononi mwa wa Wanazi wa komuninist wabaya, wakati huo wajerumani walikua na jitihada za kutawala Ulaya Magharibi ili kusambaza propaganda za kikomunisti, ndipo Jenerali Donovan alikutana na mwasisi wa shughuli za kijasusi kanisa katoliki Ulaya kwa kifupi Pro Deo yaani Father Felix Morlion na kujadili mjini vatican jinsi gani ya wanaweza kuliepusha kanisa na wanazi wa ukommunist hasa wajerumani, ndipo jenerali William "Wild Bill"Donovan alimsaidia Father Morlion kuhamisha harakati za operesheni za kijasusi wa kanisa katoliki kutoka Ureno mji wa Lisbon mpaka sehemu za New York Marekani,Wakati huo kanisa katoliki lilihitaji kabisa kuzuia ukommunist ndipo Jenerali Donovan alipofadhili shughuli hizo za kuzima ukommunisti na sera zao uliokua unalinyemelea kanisa katoliki kutokana na mali nyingi za kanisa katoliki lilizochuma kupitia maajenti wake mbalimbali duniani Jenerali William Donnovan akijua fika kwamba fadhila hizo zitazaa matunda katika kulimulika kanisa katoliki na kupata taarifa za dunia nzima kupitia mapadri na watoa huduma za kiroho, kielimu, kiafya na kiuchumi watakaosambazwa duniani kupitia kanisa katoliki,Jenerali Donnovan alibashiri kwamba kwa wingi wa waumini wa kanisa duniani CIA wangeweza kuimulika dunia kupitia watu hao hata wawakilishi wa mapapa duniani kupata hata habari za dunia inavyopanga na kwenda, vilevile aliamini kanisa katoliki kupitia ofisi ya Papa ndio taasisi itakayopata habari nyingi na kila siku za haraka duniani kupita taasisis zozote zile duniani kupitia wahudumu wakaosambazwa kupitia ufadhili huo wa Jenerali Donovan ndani ya taasisi ya OSS yaani Office of Strategic Services baada ya mafanikio ya kuzima ndoto za wakommunist kutimia na kufanikiwa kuunganisha taasisi zilizochini ya kanisa kupitia waumini na vikundi tajiri kama vile "The Knights of Malta" wenye mabenki, taasisi za utangazaji na makampuni makubwa duniani

Father Morlion ndipo aliposambaza wahudumu wa kiroho duniani kote na kuisaidia CIA kupata habari kila siku na kila dakika duniani kutoka kwa mapadri na wahudumu wote habari hizo ziliratibiwa na sekretariet ya Papa huo ndio ukawa mwanzo wa mahusiano ya kupendeza kati Kanisa katoliki na CIA, hivyo basi baada ya vita kuu ya dunia CIA wakaendelea kufadhili taasisi zilizo chini ya kanisa katoliki kuwapenyeza mapadiri ili waitumikie CIA kwa manufaa ya Marekani, kuweka maajenti wake karibu na Papa ili asijaribu kubadili msimamo wa uhusiano kati ya CIA na Vatican hususani sera za kisiasa na kiuchumi duniani pia kujaribu kuchagua Papa mwenye msimamo mzuri hasa wenye maslahi ya Marekani na CIA.

It sounds vert far fetched.
 
RUSSIA
According to the most recent figures in Annuario Pontificio , there are approximately 773,000 Catholics in Russia, which is 0.5% of the total Russian population.
However, a 2012 survey has determined that there are approximately 140,000 Catholics in Russia (0.1% of the total Russian population), accounting for 7.2% of Germans, 1.8% of Armenians, 1.3% of Belarusians, and just under 1% of Bashkirs. The survey also found Catholics to be slightly more observant than Orthodox, with 25% praying every day versus 17% of Orthodox.
kanisa kubwa Russia ni ORTHODOX (lilijitenga na Roman Catholic).

CHINA
Catholic Church in China (called Tiānzhǔ Jiào , 天主教, literally, "Religion of the Lord of Heaven", after the term for God traditionally used in Chinese by Catholics) has a long and complicated history. Christianity has existed in
China in various forms since at least the Tang Dynasty in the 8th century AD. Following the 1949 takeover by the Communist Party of China , Catholic and Protestant missionaries were expelled from the country, and the religion was vilified as a manifestation of western imperialism . In 1957, the Chinese government established the Chinese Patriotic Catholic Association, which rejects the authority of the Holy See and appoints its own bishops.

CUBA
The Roman Catholic Church body in Cuba is governed by the Cuban Bishops Conference. There are over six million Catholics - around 60.5% of the total population. The country is divided into eleven dioceses including three archdioceses .
The Catholic Church in Cuba has taken on a more politically active role than in many other countries. It claims to have engaged in discussion with the government on issues such as political prisoners and free market reforms.
Catholics in Cuba have greater religious freedom than those in other Communist countries such as China and Vietnam .

IRAN
The Catholic Church in Iran is part of the worldwide Catholic Church , under the spiritual leadership of the Pope in Rome. There are about 21,380 Catholics in Iran out of a total population of about 78.9 million. They follow the Chaldean , Armenian and Latin Rites. Aside from some Iranian citizens , Roman Catholics include foreigners in Iran like Spanish-speaking people ( Latin Americans and Spanish ), and other Europeans.
In October 2010, an Iranian official delivered a letter from President Ahmadinejad to Pope Benedict XVI in which the President said he hoped to work closely with the Holy See to help stem religious intolerance, the breakup of families and the increase of secularism and materialism. A return letter from Pope Benedict was hand-delivered by Jean-Louis Cardinal Tauran , President of the Pontifical Council for Interreligious Dialogue, according to Passionist Father Reverend Ciro Benedettini , Vice-Director of the Vatican Press Office in a statement issued November 10, 2010. The Papal letter's contents were not disclosed.
HUPO KOTE YAPO ACHA KULISHA MATANGO

Yapo japo kwa asilimia ndogo mno so no impacts kwani wanatolewa macho sana sana kumbuka Ayatollah Khomeini wa Iran alivyoweka mikakati mikali mno mbavu zinabana
 
Fatilia habar za kuuwawa kwa Rais Wa marekan J.F.Kennedy ....

Utagundua msimamo wake alouweka wazi kuhusu Upapa na Catholic ndio ulimuondoa !!!.

Namnukuu ** ninaamini ktk marekani ambayo HATA PAPA HANA USEMI NDANI YAKE **

unganisha matukio yalofuatia mpaka kuuwawa kwauyu mkuu !!!.

Mkuu lakini Mbona Rais J.F Kennedy alikua Mkatoliki pekee kilitokea nn sasa akachapwa mashine? nani alimchapa?
 
Kuna usemi kwamba kama mbingu ipo, huwezi kutumia Kanisa Katoliki kufiwa mbinguni, mbinguni hakuna serikali
 
Hivi ni kweli zile Vatican very classified informations zilizoleak mpaka leo zinawakosesha raha baraza la papa
 
NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.

NDIO MAANA MAHALI AMBAPO HAMNA CATHOLIC POPOTE PALE LAZIMA MAREKAN AMUONE NI ADUI .

REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K

Dioceses and archdioceses in North Korea
Roman Catholic Diocese of Hamhung 함흥
Roman Catholic Diocese of Pyong-yang 평양
Roman Catholic Territorial Abbacy of Tŏkwon 덕원

Cathedrals in North Korea

Changchung Cathedral in Pyongyang, North Korea (Roman Catholic Diocese of Pyong-yang 평양)
Tokwon Abbey of St Benedict in Tokwon 덕원, North Korea (Roman Catholic Territorial Abbacy of Tŏkwon 덕원)
 
Mimi huwaga najiuliza kwann Swiss Guard pekee ndio wanaomlinda Papa? kwann wasitoke kote duniani wafanye sampling?
 
Kwanini Swiss guard pekee ndio wenye wajibu wa kumlinda papa? kwann wasisort duniani kote

upload_2017-10-16_11-41-40.jpeg
 
NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.

NDIO MAANA MAHALI AMBAPO HAMNA CATHOLIC POPOTE PALE LAZIMA MAREKAN AMUONE NI ADUI .

REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K
Acha kupotosha ndugu hakuna mahali katika hii dunia catholiki haipo ipo kila mahali labda uniambie ushawishi wao ni mdogo
 
Back
Top Bottom