Kiingereza cha Vitumbua ni nini?

Joined
Aug 2, 2014
Posts
43
Reaction score
7
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.
 
Kwani Waingereza wanakula vitumbua kwao mpaka viwe na jina Kiingereza?
 
Vitumbua hivyohivyo, Waingereza wametohoa kwetu
 

Haya bro...nimekupata
 

hahahah ulitisha hatareeee
 
Wazungu hawana vitumbua kwao, wamevikuta huku kwetu hivyo wanaita vitumbua km sie tunavyoita mfano hata ugali ni hivyo hivyo japo sie tunalazimisha iwe "hadi poleji".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…