Bravo Mike
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 576
- 671
Tunahitaji Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu awe anajua Kiingereza cha kawaida tu , hatuhitaji awe mtaalamu wa hiyo lugha kama vile anaenda kufundisha Oxford Univ.Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Kwenye kutojua facts ndogo ndogo kwa level ya Mkuu wa nchi nitaungana na wewe kwasababu inaonesha uvivu au uzembe wa kutojishughulisha kufahamu Mambo. Hili ni janga kwa viongozi wengiAkiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Kwani wao Wamarekani wanaongea vizuri Kiswahili? Hebu mchukue Biden, anaweza kuzungumza Kiswahili (bila kukoseakosea?)..Acha hizo Ngabu!Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza 🤣. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Huyu mama sio Kiingereza tu pia ni shida hata kwenye namba napo ni mweupe !Achana na chombo cha habari.
Hangaya atachomoa mapema na haraka sana iwezekanavyo 🤣.
Uwezo wake mkubwa sana kwa lugha ya malkia kulinganisha na mwendazake. Huyo alikuwa ni aibu sana.Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.

Kwenye sintaksia, semantiki, saruf
Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache wenye akili.Sioni kama ni tatizo kubwa sio mother tongue yao JPM na Samia sio lazima waongee fluently.
Mfumo wetu wa elimu wa zamani kiingereza hakikupewa nafasi kubwa hata uwe na PHD hauwezi ongea fluent English.
Siku hizi English medium ndio zinasaidia kuwa fluent sababu watoto wanajua kirahisi zaidi.
Tunamjudge kiongozi wetu kwa vigezo muhimu vipaumbele ktk policies,Diplomacies etc sio kiingereza.
Kipindi hiki ilikiwa kusoma kuanzia primary ni english.Kipindi hicho nchi ikiwa na Heshima yake.
Nioneshe sasa hivi Rais wa Afrika anapokea 21 gun salute.
Sio sasa hivi Marais wetu wanapigana vijembe kwa wazungu ili kupalilia misaada.
Unamaanisha Simba wa yuda?Yup…nimeona na mimi. Hususan pale walipomuona simba [emoji1787]
Wanajilinganisha na waingereza kwenye lughaKuandika kingereza na kuongea kingereza ni vitu viwili tofauti, hata Magufuli alikuwa anajuwa kuandika kingereza vizuri tu.
Wazungu wenyewe waliojifunza kingereza kama lugha ya pili wakiongea English utacheka, au wasikilize waarabu kingereza chao ni full burudani.
Kimsingi mtu kama English siyo lugha yako ya kwanza ukijuwa kingereza cha mawasiliano inatosha sana, wewe siyo English leacture kwamba unataka kufundisha lugha.
Hata Uingereza kwenyewe ukiishi hapo unakuja kugunduwa kingereza hicho wana tofauti England, Irish na Scotland.Wanajilinganisha na waingereza kwenye lugha
Ova
Ikiwasaidia wao ,Tzn inafaidia..Hio fluent yao imesaidia nini kuiletea maendeleo tz!!?hivi waitaliano kama kina Anceloti wanaongeaje kiingereza umewahi kumsikia!!?ulisikia mzungu yeyote anamkosoa pale England!!?si walimwelewa na hakuna shida yeyote!!?kwanini mumkosoe mswahili anapooongea kiingereza kwa lafudhi ya kiswahili!!?kama sio ushamba ni nini!!!?NI UJINGA WETU TU KUDHANI KUONGEA KWA KUBANA PUA KAMA WAO NDIO MAENDELEO NA PERFOMANCE YA KUKUZA MAENDELEO KUMBE USHAMBA NA U DUNI WA KUFIKIRI!!!HATA NYERERE HAKUONGEA KWA LAFUDHI YA WAZUNGU BALINLAFUDHI YA KISWAHILI KAMA WENGINE TU!!!
Wapi nimelazimisha?Wabongo ni wajinga sana, Sasa unalazimisha azungumze kama muingereza wakati sio lugha yake?
Alafu kuna mtu humu anakuambia kiswahili hakina maana kwa mzungu/mgeni HahahaHata Uingereza kwenyewe ukiishi hapo unakuja kugunduwa kingereza hicho wana tofauti England, Irish na Scotland.
Dawa ni kutembea na mkalimani kama Rais wa China. Tatizo sisi wabongo wengi tunajifanya tunajua kiingereza wakati hatujui.Ni kweli aisee ,lugha ni tatizo.Hivi kwa nini wasiwe wanatembea na wakalimani?
Marais wa Tanzania waliotuwakilisha vizuri kwenye hii lugha walikuwa ni Julius Nyerere na Benjamin Mkapa tu, hawa wengine hakuna kituAkiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa.
Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa] kwenye karatasi, anapata shida kuyaongea.
Anajiuma uma tu. Hajiamini. Mpaka hata taarifa za ukweli [facts] anazikosea.
Uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2020 haukuwa uchaguzi wa kwanza wa nchi hiyo kuwa na mwanamke kama mgombea umakamu wa Rais.
Wakati Geraldine Ferraro anagombea kwenye tiketi moja na Walter Mondale, Hangaya alikuwa wapi?
Wakati Sarah Palin anagombea na John McCain, Hangaya alikuwa wapi?
Au alitaka kusema kuwa 2020 ndo mara ya kwanza kwa mwanamke kuwa katika tiketi iliyoshinda uchaguzi lakini akajiuma uma na akakosea hizo basic facts?
Halafu, ni ‘the United States and Tanzania have enjoyed excellent relations [siyo relation], for the last [past sounds much better] 60 years’.
Halafu kuna watu wanadai eti Hangaya yuko vizuri kwenye Kiingereza [emoji1787]. Ama kweli hii lugha ni janga la kitaifa.
Maana mtu yeyote aijuaye vizuri hiyo lugha hawezi kusema eti Hangaya yuko vizuri.
Hangaya na Magu labda wanapishana kwenye lafudhi tu. Magu alikuwa na lafudhi nzito/ nene zaidi. Hangaya ya kwake si nzito kivile, hivyo kuonekana kama vile anaimudu, kumbe wapi!
Kwenye sintaksia, semantiki, sarufi, kunyambua vitenzi, n.k., hawapishani sana. Wote mulemule tu.
Kwanini sasa hakuongea kiswahili? Mbona Rais wa China akienda nchi nyingine anaongea kichina mkalimani anatafasiri .Kiingereza sio lugha yetu.sisi lugha yetu ni kiswahili.